Najel Real Estate

Najel Real Estate Ni kampuni inayowarahisishia wadau wanaotaka kuishi na kuwekeza jijini Dodoma kupitia Ardhi

Tuna viwanja katika eneo la Ntyuka karibu kabisa na inapojengwa barabara ya kuelekea Mvumi.Viwanja vipo kilomita 8 kutok...
19/03/2023

Tuna viwanja katika eneo la Ntyuka karibu kabisa na inapojengwa barabara ya kuelekea Mvumi.

Viwanja vipo kilomita 8 kutoka Dodoma mjini na mita chache kutoka shule ya Zion. Ni sehemu nzuri kwa makazi.

Ni mwendo wa km 4 kutoka hospitali ya Dcmc na Ntyuka Center. Kwa hapa tunauza sqm 1 kwa shilingi 6000.

Wasiliana nasi 0686 698 646

Tunakupa nafasi ya kumiliki kiwanja karibu kabisa na Dodoma mjini katika eneo la Ntyuka. Ni sehemu nzuri kwa makazi na b...
16/03/2023

Tunakupa nafasi ya kumiliki kiwanja karibu kabisa na Dodoma mjini katika eneo la Ntyuka. Ni sehemu nzuri kwa makazi na biashara

Ujenzi wa barabara ya mita 60 kutoka Dodoma mjini mpaka Mvumi unaipa nafasi Ntyuka kuwa kitovu cha kuishi na kuwekeza.

Wasiliana nasi 0686 698 646

Leo tunawapeleka sehemu nzuri kwa makazi na biashara katika eneo la Nzuguni. Ni viwanja vyenye SQM 600 na viko viwili vi...
15/03/2023

Leo tunawapeleka sehemu nzuri kwa makazi na biashara katika eneo la Nzuguni. Ni viwanja vyenye SQM 600 na viko viwili vikiwa vimeungana.

Viko katika sehemu inayojengeka kwa kasi kwa majengo ya kifahari na yenye kuvutia. Kuna umeme ,maji na shule nzuri zenye hadhi ya kimataifa

Viko km 4 kutoka Soko la Job Ndugai lakini vipo mita chache kutoka barabara ya Tanroad ya mita 60 inayojengwa kuelekea mji wa serikali .

Unaweza kumiliki kiwanja hivi vyote kwa gharama ya 12.5M au ukachukua kimoja kimoja kwa gharama ya Millioni 7 huku maongezi yakitawala

Wasiliana nasi 0686 698 646

Je ungependa kuishi Chidachi mwanzoni kabisa mwa geti la shule ya St Mary's ukiwa unatokea mjini ambapo bajaji zinageuzi...
13/03/2023

Je ungependa kuishi Chidachi mwanzoni kabisa mwa geti la shule ya St Mary's ukiwa unatokea mjini ambapo bajaji zinageuzia ?

Hapa tuna viwili vyenye ukubwa wa Sqm 480 na Sqm 570 , ni viwanja vizuri kwa makazi na pengine hata biashara. Viwanja vipo sehemu yenye makazi ya kisasa huku huduma za kijamii na miundombinu ikitawala eneo hili

Kiwanja cha kwanza kipo kwenye sehemu ambayo unaweza ukawa na nyumba yako lakini ukaweka maduka mbele .

Kiwanja cha pili kina fensi pande mbili na kipo katikati kwenye nyumba za kisasa.

Wasiliana nasi 0686 698 646

Kiwanja hiki ni kizuri kipo Chidachi karibu na shule ya St Mary's . Kina ukubwa wa Sqm 450 na kinakupa fursa ya kuweka m...
04/03/2023

Kiwanja hiki ni kizuri kipo Chidachi karibu na shule ya St Mary's . Kina ukubwa wa Sqm 450 na kinakupa fursa ya kuweka makazi au biashara

Sifa zake
1: Kimezungukwa na barabara pande zote (ni cha kwenye kona )
2: Kipo mita 300 kufika barabara ya kwenda shule ya St Mary's karibu na Christina Tuition
3: Ni sehemu inayojengeka sana na yenye nyumba nzuri na za kisasa
4: Kuna pagara ambalo unaweza kubomoa au kuliendeleza
5: Umeme na maji vimefika
6: Usafiri wa kwenda Site upo

Wasiliana nasi 0686 698 646 au fika ofsini kwetu karibu na Calman Lodge barabara ya kwenda msikiti wa Warangi.

Karibuni sana

Moja ya sehemu yenye miundombinu imara na huduma za kijamii karibu zote, Nzuguni ni mojawapo jijini Dodoma.  Tuna viwanj...
03/03/2023

Moja ya sehemu yenye miundombinu imara na huduma za kijamii karibu zote, Nzuguni ni mojawapo jijini Dodoma. Tuna viwanja vilivyopimwa na vyenye hati kwa ajili ya makazi .

Viwanja vina ukubwa wa SQM 600 na kuendelea huku vikiwa na ukaribu wa stendi mpya ya mabasi , soko kuu la Job Ndugai na barabara ya kwenda Dar.

Ukijenga hapa unapata kuona View nzuri ya jiji la Dodoma ukitizama miji k**a ilazo na kisasa kwa chini. Ni viwanja vilivyopo juu ya kilima sehemu ambayo haina matope na haitwamishi maji .

Wasiliana nasi 0686698646 au finally ofisi za Najel Real Estate zilizopo barabara ya sita karibu na Calman Lodge njia ya kwenda msikiti wa Warangi.

Karibu Najel Real Estate , kampuni inayowarahisishia wadau wanaotaka kuishi na kuwekeza jijini Dodoma kupitia sekta ya a...
03/03/2023

Karibu Najel Real Estate , kampuni inayowarahisishia wadau wanaotaka kuishi na kuwekeza jijini Dodoma kupitia sekta ya ardhi .

Tunauza viwanja na mashamba yaliyo katika sehemu nzuri kwa bei nafuu sana .

Wasiliana 0686698646


Address

Umoja Street
Dodoma
41100

Telephone

+255686698646

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Najel Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Najel Real Estate:

Share