Miliki Kiwanja tz

Miliki Kiwanja tz Tunauza viwanja, vimepimwa kwa bei nafuu Dodoma Tunawasaidia watu kupata kiwanja, mashamba na kupima ardhi

17/09/2022

Jipatie kiwanja Iyumbu Dodoma 0624561599

18/12/2020

NAMNA YA KUPATA MAENEO MAKUBWA YA KUJENGA NDANI YA JIJI LA DODOMA KWA BEI NZURI BILA USUMBUFU WOWOTE.

Habari wewe ni moja kati ya watu ambao katika swala la kujenga unapenda upate kiwanja kikubwa ambacho unaweza jenga Nyumba na ikabaki sehemu kubwa tu?

Mfano, unapopata eneo lenye ukubwa ni rahisi kujenga Nyumba yako ikabaki parking ya magari , pia sehemu nzuri sana kwa kutengeneza garden yako ya maua mazuri .

Si hivyo tu, ukiwa na eneo kubwa kwa watu wanaopenda pia kujenga Nyumba za wapangaji ni rahis pia kutenga eneo la pemben kabisa kwa ajili ya wapangaji na eneo la Nyumba yako.

Bila kusahau unapoamua kujenga appartment au Nyumba za kulala yaani Guest, pia ukubwa wa eneo ni kitu cha kuzingatia sana, yaani kuacha sehemu ya parking ya magari, kutengeneza swimming pool na maeneo ya kupumzika unapopata chakula au kinywaji.

Hivo basi k**a na wewe Ni moja ya watu wanaopenda maeneo makubwa ya kujenga, nimekuandalia eneo hili (kwenye video),

Ni kiwanja kikubwa chenye ukubwa wa Sqm 4900 yaani Hekari moja

Fursa zilizopo karibu ni pamoja na chuo kikuu cha DODOMA,

Kipo pia karibu na hospitali ya Benjamini Mkapa.

Natoa OFA ya funga mwaka kwa wale watawahi kuona ndani ya wiki hii punguzo kubwa sana

Badala ya kukuiza kwa milioni kumi (10,000,000) nitakiuza kwa milioni saba tu (7,000,000). Ofa hii ni ya muda mchache tangu sasa.

Kwa mawasiliano +255759439408 piga /whatsp
Pia +255624561599

Habari, Je umekua ukitafuta Kiwanja au shamba Dodoma? Karibu Sasa tukuhudumie Vipo viwanja vilivyopimwa na unapata hati ...
19/08/2019

Habari, Je umekua ukitafuta Kiwanja au shamba Dodoma? Karibu Sasa tukuhudumie Vipo viwanja vilivyopimwa na unapata hati yako. Mashamba pia yapo kwa Bei nafuu kabisa. Miradi ya viwanja vyetu ipo Nala, Ilazo , Mahungu, Kisasa, Ipagala , Iyumbu na maeneo mengine, hasa tukizingatia hitaji la mteja.

Mashamba pia yapo mengi tu kwa Bei nzuri K**a Iyumbu, Vyeyula , Na maeneo Mengi tu.

Dodoma sasa Ni Jiji Tena makao makuu, hivo K**a unajua kucheza na fursa hapa ndo penyewe.
karibu tukuhudumie Muda wowote
Kwa mawasiliano 0752508837.

08/09/2018

HELLO get greetings from admin of this page,
You can follow also at Instagram on
"Wishes best"

Viwanja vimepimwa, vipo kibaha mlandizi mtaa wa disunyara km 2.5 toka Morogoro road, sqm 1 sh 7000 Fika ofisini kuona za...
04/06/2018

Viwanja vimepimwa, vipo kibaha mlandizi mtaa wa disunyara km 2.5 toka Morogoro road, sqm 1 sh 7000
Fika ofisini kuona zaidi piga 0655742201.



Follow inst
Like page fb : miliki kiwanja @ Kibaha Mail Moja.

Viwanja vinauzwa unapi kwa awamu, asilimia hamsini kisha utamilizia ndani ya miezi sita mawasiliano, 0759439408 .  ,  , ...
30/04/2018

Viwanja vinauzwa unapi kwa awamu, asilimia hamsini kisha utamilizia ndani ya miezi sita mawasiliano, 0759439408 .

, ,
, , , , , , , , , , , , , ,

LIPA KIDOGO KIDOGO UMILIKI                KIWANJAMradi wa kuuza viwanja vilivyopimwa  ambao unakuruhusu kulipa KIDOGO KI...
07/04/2018

LIPA KIDOGO KIDOGO UMILIKI
KIWANJA

Mradi wa kuuza viwanja vilivyopimwa ambao unakuruhusu kulipa KIDOGO KIDOGO ndani ya miezi sita ili kuendana na uchumi wa sasa.

Viwanja vipo.
Kibaha mjini...3,500,000
Mlandizi...4,700,000
Visiga ...3,000,000
Boko....4,000,000
Viziwaziwa...7,500,000

Wote watakaohitaji viwanja hivi watatuma maombi kupitia MFUMO/LINK hapa CHINI

https://api.whatsapp.com/send?phone=255759439408&text=Hello%20naomba%20kujua%20utaratibu%20wa%20%kununua%20kiwanja

Hakikisha UNAPBONYEZA hiyo link kupata huduma ya ofisi, Tupo Kibaha Pwani
Asanteni
KARIBUNI WOTE

PIECE OF LAND FOR SALE Location: Morogoro Kihonda  Size: 20x40  Price: 3,500,000/=   Status: residential accessibility  ...
03/04/2018

PIECE OF LAND FOR SALE
Location: Morogoro Kihonda
Size: 20x40
Price: 3,500,000/=
Status: residential accessibility
OFFER: Negotiable
Contact: 0759439408

UWANJA UNAUZWA Una ukubwa wa 20 kwa 40,   Unauzwa tsh 3,500,000/=  Upo MOROGORO kihonda barabara ya mgulu wa ndege OFA: ...
02/04/2018

UWANJA UNAUZWA
Una ukubwa wa 20 kwa 40,
Unauzwa tsh 3,500,000/=
Upo MOROGORO kihonda barabara ya mgulu wa ndege

OFA: maongezi yapo kidog

Piga: 0759439408

22/02/2018

Hekar 3 zinauzwa mil 23, zimeshuka bei
Location Kigamboni

HEKARI 3 ZA SHAMBA ZINAUZWA MIL. 25.  (Faida za kununua shamba..)____________________________________Faida za kununua sh...
20/01/2018

HEKARI 3 ZA SHAMBA ZINAUZWA MIL. 25. (Faida za kununua shamba..)
____________________________________

Faida za kununua shamba
1. Moja ardhi kila siku inapanda thamni yake ivo bei uliyonunua Leo sio utakayouza kesho au baada ya miaka kadhaaa
2. Faida kubwa pia unaponunua shamba ambalo hata halijapimwa na ukafatilia maswala yote yanayohusiana na kupima ardhi na hati, kisha unaweza uza sasa kwa vipande vidogo vidog kulingn na mahitaji ya mteja na hapa ndipo Faida huwa kubwa zaidi

Nb: Watu siku hizi hupenda viwanja vilivyopimwa kuepuka usumbufu wa kuhamishwa na mamlaka ya ardhi au mipango miji, hivo unaposhughulikia shamba lako kupimwa na kupewa hati utapata wateja wengi kwa urahis .

3. Shamba hilo ni kubwa , tambarare unaweza jenga taasisi, shule au nyumba binafsi.

KARIBUNI SANA.

Shamba lipo Dar es salaaam, Kigamboni kata ya Pemba mnazi.
Huduma zote zinapatikana shule, umeme, hospitali maji nk

Tutakusaidia kufatilia hati miliki na hatua zote za upimaji k**a utahitaji ili sasa kiwe katika ramani ya mji tayari kwa matumiz rasmi , piga au tuma text 'nataka shamba hilo"
Namba zetu 0759439408 .

Like our page to get notified.

Address

Dodoma
Dodoma

Telephone

+255624561599

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miliki Kiwanja tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category