E.scape Property Company Limited

E.scape Property Company Limited UUZAJI WA VIWANJA๐Ÿ”๐Ÿž
UJENZI
UCHORAJI WA RAMANI
UPIMAJI WA MASHAMBA

VIWANJA VINAUZWA - CHAHWA! ๐Ÿ“ขEscape Property Co Ltd inakuletea mradi mpya wa "The Legend of Sale" uliopo Chahwa. Hii ni f...
06/05/2026

VIWANJA VINAUZWA - CHAHWA! ๐Ÿ“ข
Escape Property Co Ltd inakuletea mradi mpya wa "The Legend of Sale" uliopo Chahwa. Hii ni fursa yako ya kumiliki ardhi kwa gharama nafuu!
โ€ข Bei: Kuanzia 3M (TSh) tu.
โ€ข Malipo: Anza na asilimia 20 (20%) kisha malizia kwa awamu.
โ€ข Mahali: Chahwa โ€” eneo lenye maendeleo na huduma zote muhimu.
โ€ข Uhakika: Tunatoa nyaraka zote safi na uaminifu mkubwa.
NDOTO YAKO, ARDHI YAKO, WETU!
๐Ÿ“ž Piga simu sasa: 0742162440

Escape Property Co Ltd ni mshirika wako wa kuaminika katika masuala ya ardhi, nyumba, ujenzi na usimamizi wa mali.๐Ÿ”น Uuza...
06/05/2026

Escape Property Co Ltd ni mshirika wako wa kuaminika katika masuala ya ardhi, nyumba, ujenzi na usimamizi wa mali.

๐Ÿ”น Uuzaji & Ununuzi wa Ardhi โ€“ Tunakusaidia kupata ardhi bora
๐Ÿ”น Ujenzi wa Nyumba โ€“ Ubora, uimara na muundo wa kisasa
๐Ÿ”น Usimamizi wa Mali โ€“ Usalama na tija ya mali yako
๐Ÿ”น Upimaji & Ushauri โ€“ Maamuzi sahihi kwa ushauri wa kitaalamu
๐Ÿ”น Huduma Bora kwa Wateja โ€“ Tupo pamoja nawe kila hatua

๐Ÿ“ž Piga simu sasa: 0742162440

โœ”๏ธ UAMINIFU โ€“ Tunatekeleza kila ahadi yetu
โœ”๏ธ UBORA โ€“ Kila mradi una kiwango cha juu
โœ”๏ธ USHIRIKIANO โ€“ Mafanikio yanafikiwa pamoja

๐ŸŒฟ Heri ya Mwezi Mei kwa wateja wetu wote!

E.scape Property Company Limited tunajivunia kuwa sehemu ya safari yenu ya kujenga maisha bora kupitia uwekezaji wa uhak...
01/05/2026

E.scape Property Company Limited tunajivunia kuwa sehemu ya safari yenu ya kujenga maisha bora kupitia uwekezaji wa uhakika katika mali isiyohamishika.

Asanteni kwa uaminifu wenu na kwa mchango wenu katika kukuza uchumi.

Heri ya Siku ya Wafanyakazi!

Heri ya Sikukuu ya Karume! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟTunawatakia sikukuu njema iliyojaa amani, furaha na mafanikio.Tunaendelea kuwahudumia kwa v...
07/04/2026

Heri ya Sikukuu ya Karume! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tunawatakia sikukuu njema iliyojaa amani, furaha na mafanikio.

Tunaendelea kuwahudumia kwa viwanja bora na salamaโ€”
karibu ujipatie kiwanja chako leo! ๐Ÿกโœจ

Escape Property Co. Ltd โ€“ For excellence and quality
๐Ÿ“ž 0742162440

๐ŸŒฟ๐Ÿฃ HAPPY EASTER! ๐Ÿฃ๐ŸŒฟEscape Property Co. Ltd tunakutakia Sikukuu njema ya Pasaka iliyojaa upendo, amani na baraka tele.Asa...
05/04/2026

๐ŸŒฟ๐Ÿฃ HAPPY EASTER! ๐Ÿฃ๐ŸŒฟ

Escape Property Co. Ltd tunakutakia Sikukuu njema ya Pasaka iliyojaa upendo, amani na baraka tele.

Asante kwa kuendelea kutuaminiโ€”tupo pamoja nawe katika kutimiza ndoto zako za kumiliki kiwanja. ๐Ÿกโœจ

Pasaka hii, chukua hatua ya kuwekeza kwenye maisha yako ya baadaye nasi!

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: 0742 162 440

04/04/2026

Karibu E.scape Property Company Limited! ๐Ÿกโœจ

Tupo site ya Nala, umbali wa kilometa 10 tu kutoka mjini Dodoma. Tunakukaribisha kutembelea mradi wetu kila siku kuanzia saa 4 asubuhi.

Usafiri ni FREE kabisa ๐Ÿš
Ofisi zetu zipo Dodoma, Uhindini โ€“ jengo la Wazazi Complex
Wasiliana nasi: 0742162440

Chagua ubora, chagua uhakika!
For Excellence and Quality ๐Ÿ’ผ

Kutoka E.scape Property Company Limited, tunawatakia wote Ijumaa Kuu njema iliyojaa amani, upendo na baraka tele. ๐Ÿ™โœจ
03/04/2026

Kutoka E.scape Property Company Limited, tunawatakia wote Ijumaa Kuu njema iliyojaa amani, upendo na baraka tele. ๐Ÿ™โœจ

๐ŸŒธ Happy New Month โ€“ April ๐ŸŒธKaribu mwezi mpya wa mafanikio na baraka!E.scape Prosperity Company Limited tunawatakia watej...
01/04/2026

๐ŸŒธ Happy New Month โ€“ April ๐ŸŒธ

Karibu mwezi mpya wa mafanikio na baraka!
E.scape Prosperity Company Limited tunawatakia wateja wetu wote mwezi wenye mafanikio, ubora na maendeleo zaidi.

Kwa huduma bora na bidhaa zenye viwango vya juu, usisite kuwasiliana nasi:
๐Ÿ“ž 0742 162 440

โœจ E.scape Prosperity Company Limited โ€“ For Excellence and Quality โœจ

Pumzika kwa amani Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Uongozi wako thabiti na mchango wako kwa taifa utaendelea kuishi mioy...
17/03/2026

Pumzika kwa amani Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Uongozi wako thabiti na mchango wako kwa taifa utaendelea kuishi mioyoni mwa Watanzania milele.โ€

๐ŸŒŸ Happy New Month kutoka E.SCAPE Property Company Limited! ๐ŸŒŸMwezi mpya, fursa mpya za uwekezaji โ€” tunauza viwanja vyenye...
01/03/2026

๐ŸŒŸ Happy New Month kutoka E.SCAPE Property Company Limited! ๐ŸŒŸ
Mwezi mpya, fursa mpya za uwekezaji โ€” tunauza viwanja vyenye hati halali kwa bei nafuu. Usikose nafasi ya kumiliki ardhi yako leo! ๐Ÿกโœจ
Piga simu: 0742 162 440 ๐Ÿ“ž

Karibu E.scape Property Company Limited ๐ŸกTupo Dodoma โ€“ Uhindini, Jengo la Wazazi Complex na viwanja vizuri vilivyopimwa,...
28/02/2026

Karibu E.scape Property Company Limited ๐Ÿก

Tupo Dodoma โ€“ Uhindini, Jengo la Wazazi Complex na viwanja vizuri vilivyopimwa, tayari kwa uwekezaji na maendeleo yako.

Site ipo kila siku za wiki kuanzia saa 4:00 asubuhi โ€“ karibu ujionee mwenyewe ubora wetu.

๐Ÿ“ž 0742162440
For Excellence and Quality.

Address

Barabara Ya 8, Karibu Na Avocado Hotel
Dodoma
41101

Telephone

+255764707776

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when E.scape Property Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category