04/03/2026
Hii nyumba inauzwa ipo bahi mjini ipo barabarani inavyumba 3 vyakula kimoja master, nna choo chauma, jiko na sebule
umeme✅maji✅ imepakana na kituo cha mafuta bahi,, BEI....27 MILION, 📞0787162003
0625314575 IPO BAHI..