21/08/2022
*VIWANJA VINAUZWA-BEACH PLOTS KIGAMBONI KIMBIJI*
š Kampuni ya VICOBA REAL ESTATE CO LTD,Inawatangazia uuzaji wa viwanja(beach plots)vilivyopo Kigamboni kimbiji ,viwanja vmepimwa na vina hati.Unaweza kulipia kidogo kidgo kwa mwaka mmoja baada ya kulipia kianzio.
š Viwanja vinauzwa kuanzia 400sqm Hadi 32,000 sqm.Bei ni 18,000/= Kwa kila 1sqm,kwa mfano k**a unahitaji kiwanja cha 400sqm hii ni sawa na (400x18,000)=Tsh ..................
š MFANO* K**a unahitaji kiwanja cha 400sqm chenye thamani ya Tsh 7,200,000/=,Utatakiwa kulipia 15% ya gharama,ambayo nin Tsh 1,080,000/=,Kisha pesa iliyobaki Tsh 6,120,000/=,Utalipa kwa miezi 11 ,yaaani Kila mwezi Tsh 536,363/= Kukamilisha muda wa malipo wa mwaka mmoja.
NB: Tuna namna nne za malipo:-
i) Cash/taslim
ii)Miezi mitatu(yaani unalipa 50% ,Kisha 25% Kila mwezi kwa miezi miwili iliyobaki.)
iii)Miezi sita(yaani unalipa 50% ,Kisha unalipa 10% Kila mwez kwa miezi mitano iliyobaki)
iv)Mwaka mmoja(yaani unalipa kianzio cha 25% Kisha unalipa 6.8% Kila mwezi kwa miezi kumi na moja iliyobaki)
UKIKAMILISHA MALIPO,UTAPEWA HATI YAKO KWA GHARAMA ZA OFISI,NDANI YA MIEZI MITATU.