Charles W Nanyaro

Charles W Nanyaro C O at Leven Land and Property

•Tunauza  viwanja Vipo Mfuru Mwambao•Bei kwa SQm 1  Tsh. 5,000/=SQm 200 sawa na tsh 1,000,000/=SQm 400 sawa na tsh 2,000...
05/12/2021

•Tunauza viwanja Vipo Mfuru Mwambao

•Bei kwa SQm 1 Tsh. 5,000/=

SQm 200 sawa na tsh 1,000,000/=
SQm 400 sawa na tsh 2,000,000/=
SQm 600 sawa na tsh 3,000,000/=
SQm 800 sawa na tsh 4,000,000/=

•DIRECTIONS
Viwanja vipo kilomita 36,ukitokea Kkoo /km 30 kutokea kivukoni ferry

•UKUBWA WA VIWANJA KUANZIA:
•SQm 200
•SQm 400
•SQm 600
•SQm 800

•Huduma za kijamii zote zinapatikana🔵

• shule✔️
• umeme✔️
• maji safi✔️
• hospitals✔️

•TERMS OF PAYMENTS🔵

Malipo ya awali ni 60% (as down payment)
kiasi kinachobakia utamalizia baada ya miezi mitatu(the rest to be paid within three month)

☎️CONTACTS

0692275216

Call & Whatsapp

26/09/2021

Viwanja vipo 40 kila kimoja Tsh laki 9 tu
Ukubwa Mita 16 urefu upana mita 13 =
Futi 40/50 = Square miters 208

Call 0692275216

Viwanja vipo Mfuru Center dakika 25 kutokea Vikindu stand kwa daladala nauli 500 tu Kwa Boda dakika 15 nauli 2000

Kilometer. 36 kutokea Kariakoo Kilometer 34 kutokea Posta

Unapo kamamilisha Malipo unakubidhiwa hati kutoka Almashauri ya kijiji siku hiyo

hiyo. Note:🚫Hakuna udalali

A wonderful plot available for sale located in a very quite and peaceful neighborhood of Mwandege Chatembo area size mea...
24/09/2021

A wonderful plot available for sale located in a very quite and peaceful neighborhood of Mwandege Chatembo area size measured 296 Square miters surveyed plot.
One kilometer from Kilwa Road Bakhresa Mwandege Azam factory.

Price Tsh 6,500,000/=

Owner 0692275216

Offer Offer Karibu viwanja vya bei poa kabisa Vipo Changanyikeni Mfuru Centre nauli Mia Tsh 500 tu Bajaji mpaka Vikindu ...
18/09/2021

Offer Offer

Karibu viwanja vya bei poa kabisa Vipo Changanyikeni Mfuru Centre nauli Mia Tsh 500 tu Bajaji mpaka Vikindu

Bus moja tu mpaka Kariakoo nauli Tsh.650

Bei ya Viwanja ni Tsh laki 900,000 tu

Call 0692 275 216

Viwnja Vinaukubwa wa Futi 50/40 = Sqm 208 Tsh 900,000
Pia vipo vya Futi 50/80 = Sqm 416 Tsh 1,800,000
na Futi 100/160 = Sqm 832 Tsh 3,600,000

Pia tuna mradi wa Tofali za umeme kwa Tsh 800 tu unaletewa mpaka kwenye kiwanja chako

Pia tunafanya ujenzi wa Apartment za kisasa za kuanzia Tofali 1700

Master bedroom 1 Room ya kawaida 1 Seating Room na kitchen

Ukisha nunua materials zako za ujenzi garama ya ufundi Tsh M 1.5 tu kwa apartment mpaka hatua ya kupaua.

Kiwanja kwa Tsh laki 900,000 tu Karibu viwanja vya bei poa kabisa Vipo Changanyikeni Mfuru Centre nauli Mia Tsh 500 tu B...
18/09/2021

Kiwanja kwa Tsh laki 900,000 tu

Karibu viwanja vya bei poa kabisa Vipo Changanyikeni Mfuru Centre nauli Mia Tsh 500 tu Bajaji mpaka Vikindu

Bus moja tu mpaka Kariakoo nauli Tsh.650

Bei ya Viwanja ni Tsh laki 900,000 tu

Call 0692 275 216

Viwnja Vinaukubwa wa Futi 50/40 = Sqm 208 Tsh 900,000
Pia vipo vya Futi 50/80 = Sqm 416 Tsh 1,800,000
na Futi 100/160 = Sqm 832 Tsh 3,600,000

Pia tuna mradi wa Tofali za umeme kwa Tsh 800 tu unaletewa mpaka kwenye kiwanja chako

Pia tunafanya ujenzi wa Apartment za kisasa za kuanzia Tofali 17000
Master bedroom 1 Room ya kawaida 1 Seating Room na kitchen
Ukisha nunua materials zako za ujenzi garama ya ufundi Tsh M 1.5 tu kwa apartment mpaka hatua ya kupaua.

Viwanja vya makazi na biashara vilivyopo Vikindu Vianzi Mfuru Center Tuna viwanja vya ukubwa mbalimbali kulingana na mah...
16/09/2021

Viwanja vya makazi na biashara vilivyopo Vikindu Vianzi Mfuru Center

Tuna viwanja vya ukubwa mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja Bei zetu zinaanzia Tsh milion 1, Million 1.5 mpaka 2.5

Viwanja vinaukubwa wa Futi 50 kwa 40
Viwanja vina umeme, maji na miundo mbinu ya barabara na huduma zote ya kijamii

Utaratibu wa malipo unaweza kulipia kwa awamu ndani ya Miezi minne.
Kwa maelezo zaidi karibu ofisini kwetu Mwandege jirani Kiwanda cha Azam

Call 0692275216

Email: [email protected]

Address

Kigamboni
Kigamboni

Telephone

+255692275216

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Charles W Nanyaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Charles W Nanyaro:

Shortcuts

Share

Category