Anjelina. "JE? waijua AFYA YAKO ?"

Anjelina. "JE? waijua  AFYA YAKO ?" Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Anjelina. "JE? waijua AFYA YAKO ?", Real Estate, Makambako.

31/01/2025

🍏Madini ya zinc na magnesium ni muhimu sana kwa afya ya mwili kwa sababu yanafanya kazi nyingi za kimsingi katika mwili wa binadamu. Hapa kuna umuhimu wa kila moja:

Umuhimu wa *Zinc:*

1. Kuimarisha Kinga ya Mwili: Zinc inachangia katika kudumisha na kuimarisha mfumo wa kinga, kusaidia mwili kupambana na maambukizi.

2. Uponyaji wa Vidonda: Madini ya zinc husaidia katika mchakato wa uponyaji wa majeraha na vidonda kwa sababu inasaidia kutengeneza seli mpya za ngozi.

3. Kukua na Ukuaji wa Seli: Zinc ni muhimu kwa ukuaji na mgawanyiko wa seli, jambo muhimu kwa watoto na vijana wanapokua.

4. Afya ya Ngozi na Nywele: Zinc husaidia kudumisha afya bora ya ngozi, nywele, na kucha.

5. Uzazi: Madini ya zinc yanahitajika kwa uzalishaji wa homoni, hasa kwa wanaume, kwani yanahusiana na uzalishaji wa manii.

6. Hisia na Harufu: Zinc inahusika katika kuimarisha hisia za ladha na harufu.

Umuhimu wa *Magnesium* :

1. Kazi ya Misuli na Mishipa: Magnesium inahusika katika kusaidia misuli kutanuka na kujikaza ipasavyo, na hivyo kusaidia kuzuia misuli kukak**aa au kupata mikazo.

2. Afya ya Mifupa: Inasaidia katika kudumisha nguvu na uimara wa mifupa, pamoja na madini ya kalsiamu.

3. Kusaidia Mfumo wa Neva: Magnesium husaidia kuimarisha mfumo wa neva kwa kudhibiti ishara za neva na kupunguza mfadhaiko wa neva.

4. Usawazishaji wa Shinikizo la Damu: Husaidia kudhibiti shinikizo la damu, hivyo kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.

5. Utulivu wa Usingizi: Magnesium inajulikana kwa kuimarisha ubora wa usingizi kwa kupunguza mafadhaiko na kusaidia misuli kupumzika.

6. Usagaji wa Chakula: Madini haya yanahusika katika kumeng’enya na kutumia wanga, mafuta, na protini katika chakula.

🍇Ukosefu wa madini haya mwilini unaweza kupelekea matatizo ya kiafya k**a vile kudhoofika kwa kinga ya mwili, uchovu, matatizo ya usingizi, na magonjwa ya mifupa. Hivyo, ni muhimu kuyapata kupitia chakula au virutubisho maalum.

💦KUMBUKA WEWE NI WA THAMANI SANA AFYA ZAIDI, THAMANI ZAIDI, UPENDO DAIMA 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

K**A WEWE NI MWANAMKE NA UNAHITAJI MTOTO HAKIKISHA SEHEMU HIZI ZINAKUWA SALAMA 👇👇Tatizo la uzazi kwa wanawake ni mada pa...
18/01/2025

K**A WEWE NI MWANAMKE NA UNAHITAJI MTOTO HAKIKISHA SEHEMU HIZI ZINAKUWA SALAMA 👇👇

Tatizo la uzazi kwa wanawake ni mada pana na ni changamoto ambayo imewakumba wanawake wengi kwa sasa kwa sababu ya life style. Yaani mfumo wa maisha kwa ujumla.

Ila ni changamoto ambayo inaweza kutibika k**a mtu atafuata utaratibu sahihi wa matibabu.

Kwa ufupi tu mwanamke ili aweze kushika mimba na mimba ikae salama mpaka kujifungua

Kuna sehemu tatu zinatakiwa ziwe salama.

1. O***y
Ni sehemu ambayo mwanamke anazalisha mayai na kupevusha

2. Mirija ya uzazi
Ni sehemu ambayo uvushwa yai la mwanamke na hapa ndio ukutana na mbegu za mwanaume.

3. Mji wa mimba
Ni sehemu ambayo mtoto utuzwa kwa miezi tisa

Sasa k**a mwanamke atakuwa na changamoto katika moja ya sehemu hizi basi huyo mwanamke atasumbuliwa na tatizo la uzazi
Sasa yale magonjwa yote yanayohusisha sehemu ya uzazi ya mwanamke ndio huathiri sehemu hizo.

Magonjwa k**a
1. PID
2. Chango kwa wanawake
3. Ovarian cyst
4. Hormone imbalance
5. UTI sugu
6. Uvimbe kwenye kizazi nk...

Kwa ushauri Na Matibabu Wasiliana Nasi 0743518419 Au Njoo Whatsapp Andika Neno "AFYA YA UZAZI"

Property

Address

Makambako

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Anjelina. "JE? waijua AFYA YAKO ?" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category