22/04/2021
TANGAZO LA MASOMO
Uongozi wa Chuo cha Biblia cha Elam Christian University Kilichopo Mkoani Mbeya kinawatangazia watu wote nafasi za kujiunga na masomo . Chuo hiki kinausajili wa kimataifa na si cha kidhehebu kinatoa mafunzo yake kwa misingi ya Ki-Biblia na kinapokea wanafunzi kutoka katika madhehebu mbalimbali ya Kikristo. Chuo hiki kinatoa mafunzo yake kwa kushirikiana na chuo cha Great Commission Bible College kilichopo nchini Marekani. Chuo hiki kina walimu na wahadhiri waliobobea katika ufundishaji.
Elam Christian University ni chuo ambacho kinatoa mafunzo kwa njia tatu yaani njia ya ana kwa ana ambapo wanafunz wanahudhuria darasani, njia ya pili ni njia ya mtandao ambapo wanafunzi wanasoma kwa njia ya intaneti na njia ya tatu ni posta, wanafunzi wanatumiwa masomo kwa njia ya posta.
Tumetengeneza mfumo wa usomaji rafiki unaomwezesha kila mtu mwenye hitaji la kusoma kuweza kusoma kulingana na majukumu aliyonayo. Kila mwanafunzi anachagua asome kwa njia gani.
Chuo hiki kinatoa mafunzo kuanzia ngazi ya cheti hadi Shahada ya uzamivu (PhD) katika fani zifuatazo:
• Astashahada ya Msingi ya Biblia na Theolojia (kozi 10)
• Astashahada ya Biblia na Theolojia (kozi 20)
• Stashahada ya Biblia na Theolojia (kozi 35)
• Stashahada ya Biblia na Huduma za Kanisa (kozi 35)
• Stashahada ya Elimu ya Kikristo (kozi 35)
• Stashahada ya kupanda makanisa na umisheni (kozi 35)
Kozi zote za Astashahada na Stashahada zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na Kingereza
STASHAHADA YA JUU
• Stashahada ya Juu ya Theolojia (kozi 20)
• Stashahada ya Juu ya Elimu ya Kikristo (kozi 20)
• Stashahada ya Juu ya Uongozi wa Kanisa (kozi 20)
(Stashahada ya Juu inatolewa kwa wanafunzi ambao wana Stashahada ya kawaida ya Theolojia)
SHAHADA YA KWANZA
• Shahada ya kwanza ya Biblia na Theolojia ( Bachelor of Bible and Theoloji (kozi 42)
• Shahada ya Kwanza ya Biblia na Huduma za Kanisa (kozi 45)
• Shahada ya Huduma katika Elimu ya Kikristo ( kozi 45)
• Shahada ya Kwanza ya Theolojia na Saikolojia (kozi 45)
• Shahada ya Theolojia katika uongozi na utawala (kozi 45)
• Shahada ya Kwanza ya Theolojia na Ujasiliamali (kozi 45)
• Shahada ya Kwanza ya Sanaa katika Biblia na THeolojia (kozi 45)
• Shahada ya kwanza ya Kupanda Makanisa na umisheni wa Ulimwengu (kozi 45)
STASHAHADA YA UZAMILI
• Stashahada ya uzamili katika Elimu ya Dini (kozi 15)
• Stashahda ya Uzamili katika Theolojia (kozi 15)
• Stashahada ya Uzamili katika Huduma (kozi 15)
• Stashahada ya Uzamili katika Theolojia na uongozi na utawala (kozi 15)
• Stashahada ya Uzamili katika Umisheni wa Ulimwengu (kozi 15)
Shahada za Uzamili
• Shahada ya Uzamili ya Huduma katika Historia ya Kanisa (master of Ministry in Church History)
• Shahada ya Uzamili katika Upandaji wa Kanisa (master of Church Planting)
• Shahada ya Uzamili katika Elimu ya Kikristo (master of Arts in Christian Education )
• Shahada ya Uzamili katika Diviniti (Master of Divinity)
• Shahada ya uzamili katika Theoljia ya Kimfumo ( Master of Theology in Systematic Theology)
• Shahada ya uzamili katika Theolojia Tumizi ( Master of Theology in Applied Theology)
• Shahada ya Uzamili ya Sanaa katika Uongozi wa Kanisa (Master of Arts in Church Leadership)
• Shahada ya Uzamili ya Huduma katika Hermeneutics (Master of Ministry in Hermeneutics)
• Shahada ya uzamili ya Uamsho na Matengnezo ya kiroho (Spiritual Revival and Formation)
(Kila Shahada ya Uzamili ina jumla ya kozi 15 na muda wake kusoma ni mwaka mmoja hadi miaka mitatu)
SHAHADA ZA UZAMIVU AU UDAKTARI (Doctorate Degree –PhD)
• Shahada ya Uzamivu katika Theolojia (Doctor of Theology – ThD)
• Shahada ya Uzamivu katika Ushauri wa Kichungaji (PhD in Pastoral Therapy)
• Shahada ya Uzamivu katika Falsafa ya Dini (PhD in Philosophy of Religion )
• Shahada ya Uzamivu katika Elimu ya Dini (PhD in Religious Education)
• Shahada ya Uzamivu katika Huduma (PhD in Ministrries)
• Shahada ya Uzamivu Katika Diviniti (PhD in Divinity)
• Shahada ya Uzamivu katika kupanda Makanisa (PhD in Church Planting)
• Shahada ya Uzamivu katika UMisheni wa Ulimwengu (PhD in World Mission )
• Shahada ya Uzamivu katika Theolojia Tumizi (PhD in Practical Theology)
• Shahad ya Uzamivu katika Historia ya Kanisa (PhD in Church History )
• Shahada ya Uzamivu katika Uteteaji wa Imani ya Kikristo (PhD in Christian Apologetics)
• Shahada ya Uzamivu katika Eksijesia (PhD in Exegesis)
Shahada zote za Uzamivu ni program za masomo kuanzia miaka miwili hadi mitano. Na kila program ina jumla ya kozi 20 na Tasnifu moja.
SHAHADA ZA HESHIMA (Honorary Degrees)
Elam Christian University (ECU) pia inatoa Shahada za Heshima kwa viongozi wa Makanisa ambao wametoa mchango mkubwa katika huduma za kiroho na Kijamii.
• Shahada za Heshima zinazotolewa na ECu ni
• Shahada ya Uzamivu ya Diviniti. (doctor of Divinity- DD)
• Shahada ya Uzamivu ya Kupanda Makanisa
• Shahada ya Uzamivu ya Elimu ya Dini (Doctor of Religious Education –DRE)
• Shahada ya Umisheni wa Ulimwengu (Doctor of World Mission – DWM)
• Shahada ya Uzamivu ya Theolojia (Doctor of Theology – ThD)
GHARAMA ZA MAFUNZO
ELAM Christian University inatoa mafunzo kwa Gharama ndogo sana ambazo kila mwanafunzi anaweza kuzimudu.
Kwa hakika chuo chetu kina kila kitu unachokihitaji kwaajili ya ustawi wa Huduma, na maisha yako kwa ujumla.
Unawezaa kusoma kupitia vituo vyetu vya mafunzo vilivyomo katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na nje ya nchi, pia unaweza kusoma kwa nji ya mtandao au posta. Masomo yanakufikia kule uliko.
Kujiunga na masomo haya ni muda wote.
Kw Maelezo zaidi tembelea tovuti yetu
www.elamseminary.org
au tuandikie kwa barua pepe. [email protected]
au
tupigie kwa simu namba 0762532121, 0753636722
Hakika hutabaki ulivyo baada ya kusoma katika chuo chetu cha Elam Christian University.
Elam Christian Harvest Seminary Welcome to Elam Christian Harvest Seminary -