12/06/2026
π’ *JENGO LA OFISI LINAPANGISHWA - MAFIATI* π’
_Jirani na Stand Kuu Mpya ya Mkoa wa Mbeya_
*LINAPATIKANA TAREHE 1 AGOSTI 2026*
π *LOCATION:* Mafiati, Mbeya
Barabara kuu ya TANZAM, opposite Chuo cha Uhasibu TIA
β° *STATUS:*
Selcom Microfinance Bank mkataba unaisha mwisho wa Julai. Jengo litakuwa *HURU* kuanzia *1 Agosti 2026*.
*WEKA BOOKING YAKO MAPEMA!*
Cheki jengo sasa kabla halijatoka sokoni. Majengo ya benki ni adimu Mbeya.
β
*FEATURES ZA KIPEKEE:*
- Lilikuwa linatumika k**a *BENKI* - miundombinu yote ya kibenki ipo
- *Parking kubwa sana* kwa wateja na wafanyakazi
- Eneo la *biashara hai* - wanafunzi wengi wa TIA kila siku
- *Nafasi ya ATM* ipo tayari
- Mita chache kutoka *Stand Kuu Mpya ya Mkoa*
πΌ *INAFaa KWA:*
Benki | SACCOS | Ofisi za Mikopo | Insurance | Forex Bureau | Ofisi Kubwa za Kampuni
π *MAWASILIANO - YAM CONNECT TZ:*
*Piga:* 0748 753 709
*WhatsApp Only:* 0714 061 829
*Email:* [email protected]
Usikubali kupitwa. Piga au WhatsApp sasa kupanga kuona jengo.