Daniel Kijo Brighton

Daniel Kijo Brighton Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Daniel Kijo Brighton, Property developer, Mbezi.

Namshukuru sana Mungu kwa kunileta Duniani Siku na tareh k**a ya leo Leo nisiku yangu ya kumbukizi ya kuzaliwa huwaga na...
07/07/2021

Namshukuru sana Mungu kwa kunileta Duniani Siku na tareh k**a ya leo Leo nisiku yangu ya kumbukizi ya kuzaliwa huwaga naitumia Siku hii kwakupumzika na kufurahi k**a ilivyo andikwa kwenye maandiko matakatifu yakuwa Mungu alipumzika katika uumbaji wake Siku ya Saba ni Siku ya sabato Saba ni utimilifu sasa hapa kwangu zipo mbili yaan (double) 7,7, means you get it double double blessings okey Nina makala Moja juu inayohusu



Hauwezi kulitatua tatizo kwa KULIKIMBIA.

Ni kweli ni jambo gumu sana sana...
..ila haliwezi kuisha kwa kulikwepa.

Umeshawahi kuwa kwenye changamoto ambayo unatamani K**a ungetokea muujiza tu IKAYEYUKA?

Au unatamani hata ungepotea tu kinamna na ujikute hauko tena hapo ulipo?

Wewe sio wa kwanza kuna wengi walishawahi kupitia hali hii.

Inaweza kuwa ni changamoto kwenye...
..mahusiano yako.
..inaweza kuwa ni jambo lililopo kazini n.k

Mara nyingi mtu akipitia hali hii huwa anataka...
..KUKIMBIA.
..KUJIFICHA.
..na APOTEE KABISA.

Unachotakiwa kujua ni kuwa, njia rahisi ya kushughulika na changamoto yako ni KUIKABILI.

Kwa sasa inaonekana k**a hauna Nguvu na ukiikabili ndio itakuwa mwisho wako.

SIO KWELI!

Aibu unayoiogopa hautaipata k**a ukiikabili badala ya kuikimbia.

Hasara unayoihofia haitakuwepo k**a utaamua kuikabili.

Hii changamoto Leo.

Leo nakuombea uchukue HATUA YA KWANZA kuikabili changamoto YAKO...
..na utaona Mungu atakavyokupa USHINDI.

Niimani yangu umepata kitu..


See You At The Top

Namshukuru Mungu kwa Kuongeza Mwaka Mwingine. Ahsante kila mmoja kwa kuwa sehemu ya maisha yangu. Nawapenda ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
06/07/2021

Namshukuru Mungu kwa Kuongeza Mwaka Mwingine. Ahsante kila mmoja kwa kuwa sehemu ya maisha yangu. Nawapenda ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ

06/07/2021

Kila rafiki unayemkaribisha na kumruhusu katika maisha yako ana nguvu ya kukuambukiza Inaweza ikawa kizuri au kibaya   y...
06/07/2021

Kila rafiki unayemkaribisha na kumruhusu katika maisha yako ana nguvu ya kukuambukiza Inaweza ikawa kizuri au kibaya
ya Mwanamke

Mchezo unafuata ni wa hatua ya Nusu Fainali ya kombe laย  ย tutakaocheza dhidi ya Biashara United, kwenye uwanja wa Ali Ha...
22/06/2021

Mchezo unafuata ni wa hatua ya Nusu Fainali ya kombe laย  ย tutakaocheza dhidi ya Biashara United, kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora ๐ŸŸ๏ธ

Wana Tabora na mikoa ya jirani tujitokeze kwa wingi kuisapoti timu yetu ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

ย ๐Ÿ†ย  ย 

TAARIFA KWA WANACHAMA
20/06/2021

TAARIFA KWA WANACHAMA


๐—™๐˜‚๐—น๐—น ๐—ง๐—ถ๐—บ๐—ฒโฑYanga Sc 3-2 Mwadui FcHaya wakacheze wanapochezaga ๐Ÿคฃ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ ย 
20/06/2021

๐—™๐˜‚๐—น๐—น ๐—ง๐—ถ๐—บ๐—ฒโฑ

Yanga Sc 3-2 Mwadui Fc

Haya wakacheze wanapochezaga ๐Ÿคฃ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ

ย 

Mchezo ni mapumziko
20/06/2021

Mchezo ni mapumziko

20/06/2021

MATCH DAY

Tukutane Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wetu dhidi ya Mwadui Fc utakaoanza Saa 1:00 Usiku.

Tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu. ๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’ช๐Ÿพ

๐Ÿ†

โ€ขOut of brotherhood there have a big thing behind which called loves humanity you know being brother and sister means be...
20/06/2021

โ€ขOut of brotherhood there have a big thing behind which called loves humanity you know being brother and sister means being there for each other๐Ÿ˜๐Ÿฉธ.

Address

Mbezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daniel Kijo Brighton posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share