Chalinze viwanja

Chalinze viwanja Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chalinze viwanja, Real Estate Company, Moshi.

MILIKI ARDHI/KIWANJA LEOEneo la Mradi  PINGO SHULE, CHALINZE - PWANI.📞0762201030SIFA ZA MRADI✅Bei kwa Square Meter moja ...
08/11/2025

MILIKI ARDHI/KIWANJA LEO

Eneo la Mradi PINGO SHULE, CHALINZE - PWANI.
📞0762201030

SIFA ZA MRADI
✅Bei kwa Square Meter moja ni Tsh.4000/=
✅Malipo ni kwa Pesa taslimu(cash) au kwa awamu hadi Miezi 24.
✅Ukubwa wa Viwanja kuanzia 600 sqm hadi 2400.
✅Mradi upo umbali wa mita 500 kutoka barabara kuu ya Morogoro - Dar es Salaam.
✅Mradi upo umbali wa Mita 800 kutoka kilipo kiwanda cha Twyford Tiles.
✅Mradi upo umbali wa kilomita 3 kutoka Chalinze mjini.
✅Mradi upo karibu na Bandari kavu ya Vigwaza.
✅Huduma zote Muhimu k**a vile maji, umeme, shule zipo karibu na mradi
✅Utapatiwa Hati miliki baada ya kukamilisha malipo yote.

Wasiliana nasi kupitia namba
0762201030

Karibu ofisini Kwetu,

28/10/2025

Watch, follow, and discover more trending content.

*SIFA ZA MRADI WETU WA NEW CHALINZE CITY, PINGO AREA*1. Bei ni TZS 4,000/= tu kwa Sqm.2. Mteja anaruhisiwa kulipa kidogo...
14/07/2025

*SIFA ZA MRADI WETU WA NEW CHALINZE CITY, PINGO AREA*
1. Bei ni TZS 4,000/= tu kwa Sqm.

2. Mteja anaruhisiwa kulipa kidogo kidogo hadi miezi 24.

3. Mteja anapatiwa HATI mara tu anapo maliza kulipa.

4. Viwanja ni vikubwa sana kuanzia Sqm 600 hadi 2,400 Sqm.

5. Viwanja vipo umbali wa Mita 500 toka barabara kuu ya DAR-MORO.

6. Mradi unatazamana na Kiwanda cha Vigae cha Twyford.

7. Mradi uko umbali wa Km 3 toka Chalinze Mjini.

8. Umeme wa TANESCO upo umbali wa mita 30 toka ulipo kwa jirani hadi vilipo viwanja.

9. Maji ya bomba yanapatikana Pingo.

10. Maduka ya vifaa vya ujenzi yapo ya kutosha.

11. Vigae toka kiwandani vipo kwa bei poa.

12. Wapangaji wa nyumba wapo wengi sana wengi wao wakiwa ni wafanyakazi wa Kiwanda cha Twyford Tiles.

13. Mahitaji ya nyumba za kulala wageni ni makubwa sana kwa sababu ya maroli ya viwandani.

📞0762201030
Asantei na Karibu.

Address

Moshi

Telephone

+255762201030

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chalinze viwanja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chalinze viwanja:

Share