25/03/2026
Salamu za pole kutoka Ofisi ya Mbunge jimbo la Kibakwe Mheshimiwa George Simbachawene kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan Spika wa Bunge M***a Zungu pamoja na wananchi wote wa Tanzania kufuatia kifo cha aliekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge Sera Uratibu na watu wenye ulemavu (Mb) Jimbo la Isimani kilichotokea asubuhi ya leo Jijini Dodoma katika Hospital ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu