12/09/2025
Wanachama wa Club ya Young Africans Sports Club Kijiji cha Kinusi, Mpwapwa-Dodoma wakifurahia Supu baada ya kutembelea wagonjwa kituo cha afya Ipera na kutoa mahitaji kwa wahitaji wanaoishi mazingira magumu kijiji cha Kinusi.
Yote haya ni katika sherehe za kilele cha wiki ya mwananchi