Naumbu Yetu, Maendeleo Yetu

Naumbu Yetu, Maendeleo Yetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Naumbu Yetu, Maendeleo Yetu, Property development, NAUMBU, MTWARA, Mtwara.

29/03/2026

Mheshimiwa diwani wa kata ya Naumbu Dr Emanuel bwana akikabidhi jezi kwa Nahodha wa timu ya kijiji cha kisiwa , k**a zawadi yake

29/03/2026

Mheshimiwa diwani wa kata ya naumbu mheshimiwa Emanuel bwana, akizungumza na wanakijiji wa kisiwa katika mkutano wake wa kishikuru

Mheshimiwa diwani wa kata ya Naumbu Dr.Emanuel bwana akihutumia wanakijiji wa kisiwa , katika mkutano wake wa kutoa shuk...
29/03/2026

Mheshimiwa diwani wa kata ya Naumbu Dr.Emanuel bwana akihutumia wanakijiji wa kisiwa , katika mkutano wake wa kutoa shukrani Baada ya juchaguzi

TAARIFAMheshimiwa Diwani wa Kata ya Naumbu Mh.Emanuel Bwana, amekabidhi zawadi ya jezi kwa timu ya mpira ya Kijiji cha M...
15/03/2026

TAARIFA

Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Naumbu Mh.Emanuel Bwana, amekabidhi zawadi ya jezi kwa timu ya mpira ya Kijiji cha Majengo. Zawadi hiyo ni sehemu ya kutekeleza ahadi yake pamoja na kuonesha shukrani kwa wananchi wa kata hiyo kwa imani waliyoionesha kwa kumchagua kuwa Diwani wao.

Kupitia hatua hiyo, Mheshimiwa Diwani ameendelea kuhamasisha maendeleo ya michezo pamoja na kuunga mkono juhudi za vijana katika kukuza vipaji na kuimarisha mshik**ano ndani ya jamii.

Wananchi na timu ya Kijiji cha Majengo wametoa shukrani zao kwa Mheshimiwa Diwani kwa mchango huo na kuahidi kuendelea kushirikiana katika kuendeleza michezo na maendeleo ya kata kwa ujumla.

Naumbu Yetu, Maendeleo Yetu Maendeleo ni Azimio letu wananaumbi
15/03/2026

Naumbu Yetu, Maendeleo Yetu
Maendeleo ni Azimio letu wananaumbi

Address

NAUMBU, MTWARA
Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naumbu Yetu, Maendeleo Yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share