SIRI ZA Kifalme

SIRI ZA Kifalme HEKALU LA SIRI ZA ULIMWENGU

Mwaka wowote au jambo lolote linaanza kiroho sio kimwili ... Jifunze siri za kifalme uwe mshindi Tutafute kule Youtube
08/01/2026

Mwaka wowote au jambo lolote linaanza kiroho sio kimwili ... Jifunze siri za kifalme uwe mshindi
Tutafute kule Youtube

Unafahamu k**a Majini hupenda sana madini na ndio sababu kuyapata mpaka watu wajitafute sana ... Tu follow upate siri ny...
07/01/2026

Unafahamu k**a Majini hupenda sana madini na ndio sababu kuyapata mpaka watu wajitafute sana ...
Tu follow upate siri nyingi za kifalme na ulimwengu

Subscribe and share kwa kupata maarifa makuu
07/01/2026

Subscribe and share kwa kupata maarifa makuu

HEKALU LA SIRI ZA ULIMWENGU

SIRI ZA KIFALME 🜂Yesu hakutawala kwa upanga,hakutumia nguvu za dunia,lakini alitikisa falme zote — kwa UKWELI.👑 Alifundi...
07/01/2026

SIRI ZA KIFALME đźś‚
Yesu hakutawala kwa upanga,
hakutumia nguvu za dunia,
lakini alitikisa falme zote — kwa UKWELI.
đź‘‘ Alifundisha siri ambazo si kila mtu aliruhusiwa kuzisikia:
“Ninyi mmejaliwa kujua siri za ufalme wa mbinguni…”
Siri ya kifalme si mali,
sio cheo,
wala si umaarufu.
🔑 Siri ya kifalme ni:
Kujua wewe ni nani
Kutawala nafsi yako
Kutembea kwenye kweli hata ikiumiza
Kupenda hata unapochukiwa
Yesu alikuwa Mfalme aliyevaa unyenyekevu,
na hapo ndipo falme za giza zilishindwa.
⚔️ Vita si vya damu na nyama,
ni vya ufahamu na roho.
Je, uko tayari kuamka na kutembea kwenye siri za ufalme?
📜 SIRI ZA KIFALME
— Hekalu la Ufahamu na Ukweli




Address

Musoma, Mara
Musoma
33101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIRI ZA Kifalme posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share