Joshua Viwanja Mwanza

Call

Joshua Viwanja Mwanza KARIBU KWA MAHITAJI YA VIWANJA NA MAENEO YA UWEKEZAJI JIJINI MWANZA WhatsApp & Call: 0687283704/ 0752650962

Happy Nyerere Day
14/10/2026

Happy Nyerere Day

13/10/2026
13/10/2026

KATAA UNYONGE MWAKA HUU💪
Savanna Properties Ltd
Savanna Properties Ltd

13/10/2026

MWASONGE MWANZA NIGHT VIEW PART II
______________________________________
Taarifa Rasmi ni kwamba hapa unajipatia Viwanja vizuri sana vya makazi Bei na ukubwa k**a ifuatavyo;
__________________________
Sqm 300 Milion 3.5
Sqm 500 Milion 6.5
Sqm 1100 Milion 13
•Viwanja tambarare safi kabisa 🔥🔥

Call/WhatsApp: 0687283704/ 0798153875

13/10/2026

Hapa ni mwanza Mwasonge moja ya miradi pendwa kabisa.
•Tuna viwanja viwili tu hapa
•Ukubwa sqm 500 Viwanja vimeungana unaweza beba vyote Boss
•Ni mtaa wa kibabe sana hakuna kutia unyonge kabisa

•Bei Milion 6.5 @1

Call/whatsapp: 0687283704/ 0798153875

Moja ya sehemu tulivu kabisa kwa sasa ni hii mwasonge Mwanza. Hapa unajipatia kiwanja kizuri kabisa •ukubwa sqm 600•kiwa...
12/10/2026

Moja ya sehemu tulivu kabisa kwa sasa ni hii mwasonge Mwanza. Hapa unajipatia kiwanja kizuri kabisa
•ukubwa sqm 600
•kiwanja kina lake view nzur sana🏝️🔥
•panafikika misimu yote

Bei milion 6.5 (Lipa kwa awamu 2)

Call: 0687283704/ 0798153875

Mwanza Isamilo jipatie viwanja vizuri vya makaziViwanja vina huduma zote za kijamii Maji ✅Umeme✅Barabara ✅Ukubwa na BeiS...
12/10/2026

Mwanza Isamilo jipatie viwanja vizuri vya makazi
Viwanja vina huduma zote za kijamii
Maji ✅
Umeme✅
Barabara ✅
Ukubwa na Bei
Sqm 300+ Bei Milion 2.5
Sqm 400 Bei Milion 3.5
Sqm 500 & 600 Bei Milion 4.5

📍Unaweza lipa kwa awamu anza na milioni 1.5 inayobaki maliza ndani ya miezi 6

Call:☎️ 0687283704/ 0798153875

12/10/2026

Huenda umekua ukitafuta kiwanja chenye mazingira safi ya kishua kabisa hiki hapa Boss
Location📍 Nyangomango Mwanza
•Viwanja vina huduma zote muhimu
•majirani heavy weight🔥🔥
•Ukubwa sqm 400+
•Unaweza nunua kimoja ama zaidi

Bei milion 9.5

Call/whatsapp: 0687283704/ 0798153875

Happy birthday Marketing Officer Mungu akupe maisha marefu sana tuendelee kufurahia maisha yako🙏🤝
11/10/2026

Happy birthday Marketing Officer
Mungu akupe maisha marefu sana tuendelee kufurahia maisha yako🙏🤝

Address

0752650962/0687283704
Mwanza

Telephone

+255687283704

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joshua Viwanja Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category