TAG Victory Church

TAG Victory Church We teach and providing the word of God all people in the world.

Tunapenda kukukaribisha kwenye Semina nzuri ya Neno la Mungu katika PASAKA hii, karibu na Mungu wa mbinguni atakubariki ...
01/04/2026

Tunapenda kukukaribisha kwenye Semina nzuri ya Neno la Mungu katika PASAKA hii, karibu na Mungu wa mbinguni atakubariki sana.

23/02/2026
Leo tutakuwa na Ibada njema sana ya kuwapongeza wachungaji ambapo kanisa la TAG Jiwe kuu MWANZA tunaungana na makanisa m...
07/12/2025

Leo tutakuwa na Ibada njema sana ya kuwapongeza wachungaji ambapo kanisa la TAG Jiwe kuu MWANZA tunaungana na makanisa mengine ya TAG Tanzania kuwapongeza wachungaji kwa mwaka mzima 2025, Kwa huduma wanayoifanya.karibu sana usipange kukosa.

Karibu tushiriki maombi haya ya siku 21 kwa ajili ya kuliombea Taifa letu na kufung Mwaka mzuri wa 2025 kwa ushindi mkub...
26/11/2025

Karibu tushiriki maombi haya ya siku 21 kwa ajili ya kuliombea Taifa letu na kufung Mwaka mzuri wa 2025 kwa ushindi mkubawa, hivyo kanisa la TAG Victory Church Jiwe kuu chini ya Mchungaji kiongozi Rev.Zakayo Zakaria Tuanakualika sana sana na Mungu wa Mbinguni Akubariki.

Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya Wnaume Kitaifa  yaani  CMF katika kanisa letu zuri la  TAG Jiwe kuu Victory Church ...
05/05/2025

Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya Wnaume Kitaifa yaani CMF katika kanisa letu zuri la TAG Jiwe kuu Victory Church lililoko jinini Mwanza Tanzania

Sherehe ya wanaume kitaifa CMF Kanisa la Tag Jiwekuu Victory Church
05/05/2025

Sherehe ya wanaume kitaifa CMF Kanisa la Tag Jiwekuu Victory Church

Address

Jiwe Kuu , Kitangiri
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Victory Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category