Nyakati za mwisho & ujio wa yesu kristo

Nyakati za mwisho & ujio wa yesu kristo SYROOD MEDIA MUSIC PRODUCER

17/01/2026
AROUND THE CORNER JESUS IS COMINGHapa kuna dalili sita za ujio wa Yesu Kristo k**a zilivyotajwa katika Biblia:1. *Vita n...
17/01/2026

AROUND THE CORNER JESUS IS COMING
Hapa kuna dalili sita za ujio wa Yesu Kristo k**a zilivyotajwa katika Biblia:

1. *Vita na Habari za Vita* - Mat. 24:6-7
2. *Mataifa kutawala mataifa mengine* - Mat. 24:7, Ufu. 11:2
3. *Njaa na Matetemeko ya Ardhi* - Mat. 24:7, Luka 21:11
4. *Kuongezeka kwa Maovu na Kupoa kwa Upendo* - Mat. 24:12, 2 Tim. 3:1-5
5. *Kuenea kwa Injili Duniani* - Mat. 24:14, Mk. 13:10
6. *Kuja kwa Wafasiri Wengi wa Uongo* - Mat. 24:11, 2 Pet. 2:1

Na hizi ndizo dalili zĂ  kurudi mwana wa adamu

*USOMAJI WA BIBLIA KWA MPANGO**IJUMAA, NOVEMBA 14, 2025**WAAMUZI 1:1—36*1. Ikawa baada ya kufa kwake Yoshua, wana wa Isr...
14/11/2025

*USOMAJI WA BIBLIA KWA MPANGO*

*IJUMAA, NOVEMBA 14, 2025*

*WAAMUZI 1:1—36*

1. Ikawa baada ya kufa kwake Yoshua, wana wa Israeli wakamwuliza Bwana, wakisema, Ni nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu juu ya Wakanaani, ili kupigana nao?

2. Bwana akasema, Yuda atakwea; tazama, nimeitia hiyo nchi mkononi mwake.

3. Ndipo Yuda akamwambia Simeoni ndugu yake, Kwea wewe pamoja nami katika kura yangu, ili tupate kupigana na Wakanaani; kisha mimi nami nitakwenda pamoja nawe katika kura yako. Basi Simeoni akaenda pamoja naye.

4. Yuda akakwea; naye Bwana akawatia Wakanaani na Waperizi mkononi mwao; nao wakawapiga huko Bezeki watu elfu kumi.

5. Wakampata huyo Adoni-bezeki huko Bezeki; wakapigana naye, nao wakawapiga Wakanaani na Waperizi.

6. Lakini Adoni-bezeki akakimbia; nao wakamwandamia na kumshika, wakamkata vyanda vyake vya gumba vya mikono na vya miguu.

7. Adoni-bezeki akasema, Wafalme sabini, waliokuwa wamekatwa vyanda vyao vya gumba vya mikono na vya miguu, waliokota chakula chao chini ya meza yangu; k**a nilivyofanya mimi, Mungu amenilipa vivyo. Wakamleta Yerusalemu naye akafa kuko.

8. Kisha wana wa Yuda wakapigana na Yerusalemu, wakautwaa, wakaupiga kwa makali ya upanga, na kuupiga moto huo mji.

9. Baadaye wana wa Yuda wakatelemka ili wapigane na hao Wakanaani waliokaa katika nchi ya milimani, na nchi ya Negebu, na nchi ya Shefela.

10. Kisha Yuda akawafuatia hao Wakanaani waliokaa katika Hebroni; (jina la Hebroni hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Kiriath-arba;) nao wakamwua Sheshai, na Ahimani, na Talmai.

11. Kisha kutoka hapo akawafuatia wale wenye kukaa Debiri. (Jina la Debiri hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Kiriath-seferi.)

12. Huyo Kalebu alisema, Yeye atakayeupiga Kiriath-seferi na kuutwaa, nitamwoza mwanangu Aksa awe mkewe.

13. Naye Othnieli, mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa huyo Kalebu, aliutwaa; basi akamwoza mwanawe Aksa.

14. Ikawa hapo alipokwenda kukaa naye, huyo mwanamke akamtaka ili aombe shamba kwa baba yake; na huyo mwanamke akashuka

😭😭😭😭
30/05/2025

😭😭😭😭

Address

Isayakassian099@gmail. Com
Namanyere

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyakati za mwisho & ujio wa yesu kristo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share