Dalali Basil Kayombo

Dalali Basil Kayombo Dalali wa Nyumba, Viwanja, vitu vilivyokwisha kutumika(Used) Dalali mkuu Songea Mjini, uaminifu na uchapakazi ndivyo muhimili wa kazi.

10/08/2026

🏑 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MATOGORO, SONGEA
πŸ“ Location: Matogoro – Songea
🏘️ Mtaa: Tulivu na salama, hauna changamoto zozote
πŸ”Ή MAELEZO YA NDANI
Vyumba 3 vya kulala
Chumba 1 Master (kina dressing room)
Dressing room
Jikoni (Kitchen room)
Store room
Dining room
Sitting room
Public toilet
πŸ”Ή MAELEZO YA NJE
Garden
Store room
Mabanda ya kufugia yenye vyumba 16
πŸ”Ή MIUNDOMBINU
Maji safi πŸ’§
Umeme ⚑
Barabara nzuri πŸš—
Huduma zote za kijamii zinapatikana kwa urahisi
πŸ“ UKUBWA WA ENEO
SQM 1200
πŸ“„ NYARAKA
Ina hati ya mauziano ya serikali ya mtaa
πŸ’° BEI
TSh Milioni 32tu
Mazungumzo yapo
Kwenda site: TSh 10,000
βœ… Nyumba ni mpya, ya kisasa,
βœ… Ukilipa unaingia moja kwa moja,
❌ Haina marekebisho yoyote
Call me 0768543412 kwa maelezo zaidi

09/08/2026

🏠 NYUMBA INAPANGISHWA – SONGEA, RUWIKO 🏠

πŸ“ Location: Songea – Ruwiko
πŸ›οΈ Vyumba: 3
✨ Master Bedrooms: 2
πŸ›‹οΈ Sebule: 1
🍳 Jiko: 1
🚽 Toilet: Public

πŸ’° BEI: TSH 200,000 TU KWA MWEZI!
πŸ”₯ Bei ni kitonga sana!

πŸ“ž Kwa mawasiliano: 0768 543 412

⚑ Usikose nafasi hii, wasiliana nasi sasa!

07/08/2026

🏑 NYUMBA INAUZWA – SONGEA MJINI (MSAMALA)

Unatafuta nyumba nzuri kwa makazi au uwekezaji? Hii ni fursa yako!

πŸ“ Mahali: Mtaa wa Msamala, Songea Mjini
🏠 Sifa za Nyumba:

Vyumba 3 vya kulala (Master 1)

Sebule

Dining

Jiko

Public toilet

πŸ“ Ukubwa wa Eneo: Robo heka (SQM 800)

πŸ›£οΈ Miundombinu:

Meta 200 tu kutoka barabara ya lami

Nyumba imetazama barabara ya mtaa

πŸ’° Bei: TSh Milioni 17.5 (Inajadiliwa)

πŸ“ž Wasiliana Nasi:
Piga simu, SMS au WhatsApp: 0768 543 412

05/08/2026

🌿 SHAMBA LINAUZWA 🌿

πŸ“ Mahali: Mkoa wa Ruvuma, Wilaya ya Songea
πŸ“ Ukubwa: Heka 20
πŸ’° Bei: TSh 250,000 kwa kila heka

βœ… Shamba lipo umbali wa km 18 kutoka Songea Mjini.
βœ… Linafaa kwa kilimo cha aina yoyote.
βœ… Lina udongo mweusi wenye rutuba, unaofaa kwa mazao mbalimbali.

Kwa maelezo zaidi au kupanga kutembelea shamba, wasiliana nasi:

πŸ“ž 0768 543 412

02/08/2026

🏠 Apartment Inapangishwa – Msamala

βœ”οΈ Chumba Master
βœ”οΈ Sebule
βœ”οΈ Jiko
βœ”οΈ Toilet Public
βœ”οΈ Kadining kadogo

πŸ’° Kodi: TSh 200,000
πŸ“… Malipo: Miezi 6

πŸ“ž 0768543412

02/08/2026

🏑 NYUMBA INAUZWA – SONGEA (SHULE YA TANGA)

πŸ“ Mtaa wa pili kutoka lami

βœ… Vyumba 3 (Master 1)
βœ… Sebule
βœ… Dining
βœ… Jiko
βœ… Stoo
βœ… Public Toilet

πŸ“ Eneo: SQM 600 (Robo Heka)

πŸ’° Bei: TSh Milioni 6.5

πŸ“ž Piga / SMS / WhatsApp: 0768543412

02/08/2026
31/07/2026

πŸͺ DUKA LINAUZWA – SONGEA, matalawe πŸͺ
Fursa ya kipekee kwa wafanyabiashara na wawekezaji!
πŸ“ Location: Lizabo – Songea
πŸ’° Bei: TSh Milioni 2 tu
βœ… Bei nafuu βœ… Lipo kwenye eneo lenye shughuli za biashara βœ… Linafaa kwa biashara mbalimbali
πŸ“ž Kwa maelezo zaidi au kupanga kuliona, wasiliana na: 0768 543 412
🏠 DALALI MKUU SONGEA Tunakuunganisha na fursa bora za biashara, nyumba na viwanja. Wahi kabla halijauzwa!

31/07/2026

🏑 NYUMBA MPYA INAPANGISHWA – RUWIKO, SONGEA 🏑
Unatafuta nyumba nzuri ya kuishi? Hii ndiyo nafasi yako!
πŸ“ Location: Ruwiko (Kasolo)
Sifa za nyumba: βœ… Vyumba 2 vya kulala βœ… Chumba kimoja Master βœ… Sebule ya kisasa βœ… Jiko βœ… Toilet ya Public βœ… Nyumba mpya kabisa, kila kitu kimekamilika βœ… Ipo ndani ya fensi βœ… Mazingira salama na tulivu
πŸ’° Kodi: TSh 250,000 tu kwa mwezi.
πŸ“ž Kwa mawasiliano na kupanga kuiona nyumba: 0768 543 412
DALALI MKUU SONGEA – Tunakusaidia kupata nyumba bora kwa bei nafuu. Wahi kabla haijapangishwa! 🏠

31/07/2026

🏑 NYUMBA INAPANGISHWA – RUWIKO 🏑
Je, unatafuta nyumba nzuri, yenye nafasi ya kutosha na mazingira tulivu? Hii ndiyo nyumba inayokufaa!
✨ Sifa za Nyumba: βœ… Vyumba 3 vya kulala
βœ… Chumba 1 Master
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko
βœ… Toilet Public
πŸ“ Location: Ruwiko
πŸ’° Kodi: TSh 250,000 tu kwa mwezi.
πŸ“ž Kwa mawasiliano na kupanga kuiona nyumba: 0768 543 412
🏠 DALALI MKUU SONGEA Tunakuunganisha na nyumba bora kwa bei nafuu. Wahi sasa kabla haijapangishwa!

Address

Bombambili, Opposite Mabena Petrol Station
Songea
255

Telephone

+255768543412

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalali Basil Kayombo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dalali Basil Kayombo:

Shortcuts

Share

Category