Invest in Forest

Invest in Forest invest on forest

Invest on forest
08/04/2022

Invest on forest

24/06/2020

Bado nafasi ipo ya upatikanaji wa mashamba kwa ajili ya kupanda miti. Karibu ununue na uwekeze katika miti.

20/04/2020
20/04/2020

Je wajua kuwa upandaji miti ni uwekezaji usio na gharama kubwa k**a aina nyingine ya uwekazaji? Lakini faida yake ni kubwa kuliko kuliko aina nyingine ya uwekezaji unayoifahamu.
Trees For Future ipo kwa ajili ya kukusaidia katika uwekazaji huu.
Kwanini uwekeze kwenye Miti (misitu)
1. Gharama ya kuanzisha uwekezaji huu ni rahisi sana.
2. Gharama zake za kuhudumia ni ndogo sana. Huhitaji
wafanyakazi/vibarua kusimamia uwekezaji huu kila mara.
3. Miti/msitu unaweza ukawa ni dhamana(collateral) kwa ajili
ya kupata mkopo katika Taasisi za kifedha haoa nchini.
4. Muda wa kutosha kujishughulisha na kazi nyingine kwani
hutahitaji kuwepo muda wote katika uangalizi.
5. Thamani ya miti haijawahi kushuka k**a aina
nyingine ya mazao.

TREES FOR FUTURE.
Tutakuwezesha kupata shamba kwa gharama nafuu, kukusaidia katika hatua za kukuwezesha kumiliki kisheria na kukuwezesha upate miche bora.
wasiliana nasi
Call/whatsup 0784116688
Call: 0713722830, 0765774633
E mail: [email protected]

Address

Lushoto Tanga
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Invest in Forest posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category