Bumbuli Paralegal Organization

Bumbuli Paralegal Organization Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bumbuli Paralegal Organization, Real Estate, 2, Tanga.

Bumbuli Paralegal Organization (BPO) is a Non-governmental Organization, and a Non- Profit Organization officially registered on 16 October 2020, to operate in Tanzania Mainland

HODIHODI KATA YA VUGA NA SONI, hii sio ya kukosa, ni zaidi ya ziara, kata ya Soni vijiji vya Magira na Shahui, Vitafikiw...
19/09/2025

HODIHODI KATA YA VUGA NA SONI, hii sio ya kukosa, ni zaidi ya ziara, kata ya Soni vijiji vya Magira na Shahui, Vitafikiwa
Elimu na huduma za msaada wa kisheria zitaendelea kutolewa kwa njia zifuatao
1 . Bonanza la mpira wa miguu kwa Shule za sekondari Soniday na Kwamongo
2 . Bonanza la vijana na vijana w a bodaboda kwa kata ya Soni
HII SI YA KUKOSA, NI ZAIDI YA ZIARA
E WE MZAZI, KIJANA JITOKEZE UPATE ELIMU NA KUSHUHUDIA BURUDANI

VUGA SASA
NIK**A TUMEHAMIA, TIMU YA WATAALAM KUTOKA HALMASHAURI YA BUMBULI, WAKIONGOZANA NA WASAIDIZI WA KISHERIA BUMBULI PARALEGAL WATAWEKA KAMBI KATA YA VUGA TAREHE 25 SEPTEMBA,2025
TIMU ITAFIKA KIHITU , BAZO, BAGHAI, KISHEWA, KIRUWAI NA KIDUNDAI
MABONANA K**A YOTE KWA WANAFUNZI NA VIJANA/VIJANA WA BODABODA
KWANINI UHADISIWE? NJOO UJIONE E
BPO NA MSAADA WA KISHERIA KATA YA VUGA TUMEKARIBIA

https://youtu.be/mofK0Fx1rcw
11/09/2025

https://youtu.be/mofK0Fx1rcw

Matukio katika picha, ni habari kwa ufupi wakati waaidizi wa kiheria BPO Bumbuli walipokuwa kwenye ziara maalum, ziara ya makambi iliyofanyika kuanzia tar 12...

Ni BPO tena katika ziara maalumu kwa kata za Tamota, Mahezangulu, Milingano na Nkongoi, tukiweka kambi ya siku nne kuanz...
16/08/2025

Ni BPO tena katika ziara maalumu kwa kata za Tamota, Mahezangulu, Milingano na Nkongoi, tukiweka kambi ya siku nne kuanzia tar 12 Agust hadi 15 Agust 2025,kazi ilikuwa ni moja tu, kutoa elimu ya kisheria juu ya ukatili w kijinsia, ukatili dhidi ya watoto, maswala ya ardhi,ndoa, Mirathi, jinai, madai na kazi
kwa kushirikiana na wadau k**a mh. hakimu mahak**a ya mwanzo Bumbuli, idara ya maendeleo ya jamii halmashauri ya wilaya ya Bumbauli, wakili wa kujitegemea, paralegals, tumefanikiwa kuwafikia wanawake, bodaboda, wanafunzi, k**ati za MTAKUWA, MABARAZA YA USULUHISHI YA KATA, vituo vya watoto wenye mahitaji maalum, wakati wa kuwafikia watoto/wanafunzi tulitumia mabonanza ya mpira wa miguu, kwa wanafunzi wa k**e, na wakiume, l`akini pia vijana wa boda boda
mabonanza yote yalichagizw na kauli mbiu ya"NIACHE NISOME NITIMIZE NDOTO ZANGU" KWA MAANA KUWA TUNAJUKUMA LA KUHAKIKISHA KUWA NDOTO ZA MTOTO ZINATIMIA
BPO TUNASEMA "POPOTE ULIPO TUPO"

Mbali na utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, BPO pia inajihusisha na shughuli za utunzaji wa mazingiraBPO tuna amini...
05/06/2025

Mbali na utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, BPO pia inajihusisha na shughuli za utunzaji wa mazingira
BPO tuna amini kuwa mradi wa nyuki ni moja ya nyenz muhimu ambayo inaweza kuaidia swala la utunzaji wa mazingira
Hata hivyo mbali na kutumia mradi huu kwa ajili ya kutunza mazingira, BPO inautumia mradi huu kwa ajili ya Uhamaihaji wa rasilimali za ndani, yaani chanzo cha ndani cha kujipatia fedha mbali na wafadhili.
Hivyo basi BPO inategemea hapo baadae mradi huu utakuwa na matunda na mafanikio chanya k**a ifuatavyo:-
1. Kutunza mazingira kupitia mradi wa nyuki, hapa leng la BPO ni kuunda na kuanzisha vikundi vya ufugaji wa nyuki kwa kuanzia na halmashauri ya Bumbuli kwenye kata 18
2. Kuta elimu ya utunzaji wa mazingira kupitia mradi huu, kwa kuvitumia vikundi, na wasaidizi wa kisheria walipo BPO kwenye kila kata.
4. Hivyo BPO inajihusisha na hughuli hizi za kutuniha mfuko wake ili baade kuondokana na utegemezi

Utoaji wa elimu ya sheria mashuleni umeambatana  na uundaji wa GBV Club kwa shule za msingi na sekondari, BPO imeshaanzi...
05/06/2025

Utoaji wa elimu ya sheria mashuleni umeambatana na uundaji wa GBV Club kwa shule za msingi na sekondari, BPO imeshaanzisha GBV Club kwa kata za Mayo, Bumbuli, Dule B, Funta, Mponde, Kisiwani, Mamba na Baga, sasa shughuli inayoendelea kwa sasa ni kuziendeleza na kuzijengea uwezo, katika picha ni Meneja wa BPO alipokuwa shule ya msingi Kwanguruwe tarehe 26 May 2025 iliyopo kata ya Bumbuli, ni pamoja na kuhuisha GBV Club huleni hapo
Shule nyingine zilizofikiwa kwa mwezi May 2025 ni Kizanda, Mayo kwa kata ya Mayo, Shule ya msingi Mahange, Zeba na shule y sekondari Kizanda kwa kata ya Mponde

Kazi ya utoaji elimu imeendelea kufanyik**aeneo mbalimbali ya Bumbuli, BPO ikishirikiana na wadau mbalimbali,katika pich...
05/06/2025

Kazi ya utoaji elimu imeendelea kufanyik**aeneo mbalimbali ya Bumbuli, BPO ikishirikiana na wadau mbalimbali,katika picha ni Afsa ustawi wa jamii halmashauri ya Bumbuli, Mkurugenzi BPO na Meneja BPO wakitoa elimu ya sheria kwa jamii

Baada ya kutoa elimu, sasa ni wakati wa kusikiliza na kushughulikia kero za wanajamii, katika picha zifuatazo ni wasaidi...
05/06/2025

Baada ya kutoa elimu, sasa ni wakati wa kusikiliza na kushughulikia kero za wanajamii, katika picha zifuatazo ni wasaidizi wa kisheria pamoja na Afsa Ustawi wa jamii halmashauri ya Bumbuli wakipokea kero kutoka kwa jamii.

Baada ya timu kupatiwa mafunzo,sasa tayali kwa kazi, katika picha mbalimbali zifuatazo ni matukio ya utaji elimu ya sher...
05/06/2025

Baada ya timu kupatiwa mafunzo,sasa tayali kwa kazi, katika picha mbalimbali zifuatazo ni matukio ya utaji elimu ya sheria, kwenye jamii, tukianza na mashuleni, mikutano ya hadhara, kazi hii imefanywa kipindi cha zoezi maalum la Mama Samia Legal Aid Kampain, waaidizi wakisheria wamefanikiwa kutoa elimu na pia kujitambulisha kwa jamii, kata zilizofikiwa ni pamoja na Mahezangulu, Tamota, Funta, Bumbuli, Mayo, Dule 'B', Soni, Usambara, Mgwashi, na Nkongoi, kazi hii imefanyika kwa kushirikiana na timu ya mama Samia Legal Campain halmashauri ya Bumbuli
BPO TUNASEMA "Popote ulipo tupo" karibu tukuhudumie

Muendelezo wa Matukio ya mafunzo mbalimbali katika pichaya timu ya  wasaidizi wa kisheria wakiwa na nyuso za tabasamu kw...
05/06/2025

Muendelezo wa Matukio ya mafunzo mbalimbali katika picha
ya timu ya wasaidizi wa kisheria wakiwa na nyuso za tabasamu kwa ajili ya kuiaidia/hudumia jamii🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Address

2
Tanga
BPO@2025

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bumbuli Paralegal Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category