Maabady Interpreses

Maabady Interpreses Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maabady Interpreses, Zanzibar City.

Tunatoa huduma za urembo kama vile
Body spray, body splash perfumes cream aina zote body lotion mafuta ya nywele sabuni za ngozi na nyenginezo
Huduma zetu ni original pia
Uaminifu ndio kipaumbele chetu
Unaweza kutupata kupitia
wasp no 0629771737

✨ JE, NGOZI KUKAUKA, KUKOSA ULAINI AU MICHIRIZI VINAKUSUMBUA?Watu wengi hujaribu bidhaa mbalimbali bila kupata matokeo w...
10/06/2026

✨ JE, NGOZI KUKAUKA, KUKOSA ULAINI AU MICHIRIZI VINAKUSUMBUA?
Watu wengi hujaribu bidhaa mbalimbali bila kupata matokeo wanayotarajia.Lakini leo nimekuandalia
πŸ’› Palmer's Cocoa Butter
πŸ’› Bio-Oil
πŸ’› Dove Body Lotion
Ni miongoni mwa bidhaa zinazopendwa zaidi kwa kusaidia:
βœ”οΈ Kulainisha ngozi
βœ”οΈ Kuongeza unyevunyevu wa muda mrefu
βœ”οΈ Kuboresha mwonekano wa ngozi
βœ”οΈ Kusaidia kupunguza muonekano wa michirizi

🌹 Ngozi yako inastahili bora zaidi.
πŸ“¦ Delivery ya Haraka
🀝 Huduma ya Uaminifu
πŸ“² WhatsApp: +255 715 217 198
πŸ“ž Call: +255 715 217 198
πŸ“˜ Facebook: Maabadalshirazy
πŸ“Έ Instagram: Maabadalshiraz

πŸ‘‘ MAABAD COSMETIC STORE
"Harufu na Urembo kwa Kila Mtu"

09/06/2026

✨ USINUNUE PERFUME KWA KUBAHATISHA... CHAGUA HARUFU INAYOKUWAKILISHA.

Watu wengi hununua perfume kwa kuangalia chupa au bei pekee.

Lakini ukweli ni kwamba perfume nzuri ni ile inayokupa kujiamini, inayodumu muda mrefu na inayokufanya ukumbukwe kila unapopita.

Ndio maana MAABAD COSMETIC STORE tunakuletea manukato ya kifahari yaliyochaguliwa kwa umakini kwa wanawake na wanaume.

βœ”οΈ Perfume Original
βœ”οΈ Harufu Ya Kudumu
βœ”οΈ Bei Nafuu
βœ”οΈ Huduma Ya Kuaminika
βœ”οΈ Delivery Zanzibar na Tanzania Mzima

πŸ“± WhatsApp: +255 715 217 198
πŸ“ž Call: +255 715 217 198

πŸ“˜ Facebook: Maabadalshirazy
πŸ“Έ Instagram: Maabadalshirazy

MAABAD COSMETIC STORE
"Harufu Ya Kipekee Kwa Kila Mtu."

Tunahudumia wateja wa ngazi zote kwa uaminifu wa hali ya juu
08/06/2026

Tunahudumia wateja wa ngazi zote kwa uaminifu wa hali ya juu

07/06/2026

✨ Kuna harufu... na kuna HARUFU INAYOKUMBUKWA.

Ukifika sehemu, watu wasiulize jina lako kwanza... waulize perfume uliyoitumia.
✨ Chagua perfume inayoongea kwa niaba yako.kisha nifate Inbox nikupe offer
πŸ”₯ Perfume Original
🚚 Delivery Zanzibar na Tanzania Mzima

πŸ“² WhatsApp: +255 715 217 198
πŸ“˜ Facebook: Maabadalshirazy
πŸ“Έ Instagram: Maabadalshirazy

✨ Kuna harufu... na kuna HARUFU INAYOKUMBUKWA.Ukifika sehemu, watu wasiulize jina lako kwanza... waulize perfume uliyoit...
07/06/2026

✨ Kuna harufu... na kuna HARUFU INAYOKUMBUKWA.

Ukifika sehemu, watu wasiulize jina lako kwanza... waulize perfume uliyoitumia.
✨ Chagua perfume inayoongea kwa niaba yako.kisha
Uje Inbox nikupatie offer
πŸ”₯ Perfume Original
🚚 Delivery Zanzibar na Tanzania Mzima

πŸ“² WhatsApp: +255 715 217 198
πŸ“˜ Facebook: Maabadalshirazy
πŸ“Έ Instagram: Maabadalshirazy

πŸ‘Œ KABLA HUJANUNUA  PERFUME NYINGINE, KWANZA JIFUNZE KUTUMIA ULIYONAYO KWA NJIA SAHIHI...🌟 JINSI YA KUFANYA PERFUME IKAE ...
06/06/2026

πŸ‘Œ KABLA HUJANUNUA PERFUME NYINGINE, KWANZA JIFUNZE KUTUMIA ULIYONAYO KWA NJIA SAHIHI...
🌟 JINSI YA KUFANYA PERFUME IKAE MUDA MREFU KWENYE NGUO 🌟

βœ… Nyunyiza perfume yako kwenye nguo safi na kavu.

βœ… Elekeza perfume kwenye sehemu za ndani za nguo k**a kola, mikono ya shati na kifua.

βœ… Usisugue sehemu uliyonyunyizia perfume kwani hupunguza nguvu ya harufu.

βœ… Tumia lotion au mafuta mepesi yenye harufu hafifu kabla ya kuvaa ili kuongeza uimara wa harufu.

βœ… Hifadhi perfume sehemu yenye ubaridi na isiyopigwa na jua moja kwa moja.

πŸ’Ž Siri kubwa: Tumia perfume yenye ubora mzuri na concentration kubwa ya mafuta ya manukato ili harufu idumu siku mzima.

πŸ“ Follow Maabad Interpresess kwa elimu zaidi za manukato na bidhaa bora za urembo.
πŸ“² WhatsApp: +255 715 217 198
🚚 Delivery Zanzibar na Tanzania Mzima.

✨ Harufu inayobaki kwenye kumbukumbu! ✨Body Spray za Hayat, Mosouf, Yara, Al Riyan, Asad na Now zimewasili.πŸ’Ž Harufu za k...
05/06/2026

✨ Harufu inayobaki kwenye kumbukumbu! ✨

Body Spray za Hayat, Mosouf, Yara, Al Riyan, Asad na Now zimewasili.

πŸ’Ž Harufu za kipekee
⏰ Zinadumu muda mrefu
πŸ’° Bei nafuu

🚚 Delivery Zanzibar na Tanzania nzima

πŸ“² WhatsApp: +255 715 217 198
πŸ“˜ Facebook: Maabadalshirazy
πŸ“Έ Instagram: Maabadalshirazy

πŸ”₯ HARUFU ZA KIFAHARI ZIMEWASILI! πŸ”₯✨ Yara✨ Supremacy Collector's Edition✨ Reef 33✨ Club De Nuit Intense Man✨ 9PMNukia kwa...
04/06/2026

πŸ”₯ HARUFU ZA KIFAHARI ZIMEWASILI! πŸ”₯

✨ Yara
✨ Supremacy Collector's Edition
✨ Reef 33
✨ Club De Nuit Intense Man
✨ 9PM

Nukia kwa kujiamini, vutia kila unapopita! 😍

πŸ“² Agiza sasa: +255 715 217 198
🚚 Delivery Tanzania Mzima

πŸ‘‘ Nukia tofauti… Vutia tofauti… πŸ‘‘Sio kila manukato yanaweza kufanya ukaonekana wa kipekee πŸ’«Pata Perfume, Lotion na Deodo...
31/05/2026

πŸ‘‘ Nukia tofauti… Vutia tofauti… πŸ‘‘

Sio kila manukato yanaweza kufanya ukaonekana wa kipekee πŸ’«

Pata Perfume, Lotion na Deodorant zenye:
✨ Harufu tamu ya kudumu
✨ Muonekano wa kifahari
✨ Ubora wa hali ya juu

🚚 Delivery Tanzania Mzima
πŸ“© Inbox sasa kuagiza

πŸ“ž +255 715 217 198

MAABAD COSMETIC STORE πŸ’–

20/08/2025

πŸ’Ž Discover the finest modern beauty products at Maabad Cosmetics Store:
βœ… Long-lasting perfumes with both strong and soft fragrances
βœ… Stylish body sprays that match every personality
βœ… Skin lotions that keep you moisturized and glowing all day

πŸ›οΈ Available in both Wholesale & Retail at the best prices!

🌟 Maabad Cosmetics Store – Your Beauty, Our Pride! 🌟

πŸ“ Location: Darajan – Zanzibar
🚚 We deliver to Dar es Salaam and across all regions of Tanzania

πŸ“ž Contact Us:
πŸ“² Call: +255 715 217 198
πŸ“² WhatsApp: +255 629 771 737
πŸ“˜ Facebook: Maabad Interpresess
πŸ“Έ Instagram:

Address

Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maabady Interpreses posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maabady Interpreses:

Share