miliki_kiwanja_na_spc_

  • Home
  • miliki_kiwanja_na_spc_

miliki_kiwanja_na_spc_ �Uuzaji viwanja
�Upimaji
�Ufuatiliaji Hati na vibali vya ujenzi
�Uhamishaji Hati miliki

I have reached 100 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉
09/11/2023

I have reached 100 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

Umeamka vizuri tumeamka na afya njema tunapaswa kumshukuru mwenyezi MUNGU
23/07/2023

Umeamka vizuri tumeamka na afya njema tunapaswa kumshukuru mwenyezi MUNGU

.BUYUNI 12.     Anza na 244,000Tsh tuu.(Kwa sqm 500).Eneo lipo km 47 kutoka Ferry. Km 3.5 kutoka baharini. Km 3 kutoka b...
24/11/2022

.BUYUNI 12.
Anza na 244,000Tsh tuu.(Kwa sqm 500).Eneo lipo km 47 kutoka Ferry. Km 3.5 kutoka baharini. Km 3 kutoka barabara kuu. Bei ya kiwanja ni 4,875,000Tsh (sqm 500).
Malipo miezi 20 bila Riba.
Sqm 1 @ 8,500/= Cash
Sqm 1 @ 9,750/= kwa Installments

KIMBIJI CENTER ;
km 28 kutoka Ferry
Sqm1@15,000Tsh
cash. Sqm1@17,000Tsh installments ya miezi 3.
Malipo flat rate. Eneo lipo mita 50 tuu kutoka barabara kuu ya Ferry.
NEW PROJECT KIMBIJI KIDAGAA.
km 34 kutoka ferry
mita 500 kutoka barabara kuu
mita 800 kutoka baharini 💦💧
sqm 1 @ 16,000/= anza na 20% malipo ndani ya miezi 10
sqm 1 @ 14,000/= cash 💰
eneo limezungukwa na makazi ya watu
lipo karibu na huduma za kijamii k**a Shule
umeme na maji vipo Site
KIMBIJI KWA MORRIS 2.
Km 38 kutoka Ferry. ( mbele ya kambi ya jeshi ya kimbiji)
Sqm 1@15,000Tsh cash
Sqm 1@17,000Tsh installment (unaanza 15%)malipo ndani ya miezi 12.
Mita 800 kutoka baharini. Mita 50 kutoka barabara kuu ya Ferry.
Viwanja vya Biashara Sqm 1@22,000Tsh kwa installments, na sqm1@20,000Tsh kwa cash.
KIMBIJI MORRIS LIGHT CITY(New Project!!).
Sqm1@9,000Tsh cash. Sqm 1@10,000Tsh malipo miezi 20. Malipo flat rate.
Offer ya HATI BUREE Kwa atayelipa cash. Eneo lipo km 2.5 kutoka Beach. Eneo lipo km 1.5 kutoka barabara kuu.
CHEKA MINONDO
𝐕𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈/𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀
𝐒𝐐𝐌𝟏@18,𝟎𝟎𝟎/= Cash, 𝐒𝐐𝐌𝟏@𝟐0,𝟎𝟎𝟎/= Installment, 10 𝐦𝐨𝐧𝐭𝐡𝐬 𝐝𝐮𝐫𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧
Anza na 30%.
Mradi upo katikati ya makazi ya watu, Umeme upo site, Eneo tambarare, barabara zipo vizuri mpaka site,
𝐊𝐦 𝟐.𝟓 𝐤𝐮𝐞𝐥𝐞𝐤𝐞𝐚 𝐁𝐞𝐚𝐜h, km 20 kutoka ferry

Call 0787315517

Kwa waliokosa 𝐁𝐔𝐘𝐔𝐍𝐈-13Haya mzigo huoooo🔥🔥🔥𝐁𝐔𝐘𝐔𝐍𝐈 𝐊𝐈𝐆𝐀𝐌𝐁𝐎𝐍𝐈🔥🔥🔥🔥Mji unapokua kwa kasi ya Ajabu 𝐃𝐀𝐑 𝐄𝐒 𝐒𝐀𝐋𝐀𝐀𝐌📌Unamiliki ki...
22/11/2022

Kwa waliokosa 𝐁𝐔𝐘𝐔𝐍𝐈-13
Haya mzigo huoooo🔥🔥🔥

𝐁𝐔𝐘𝐔𝐍𝐈 𝐊𝐈𝐆𝐀𝐌𝐁𝐎𝐍𝐈🔥🔥🔥🔥
Mji unapokua kwa kasi ya Ajabu 𝐃𝐀𝐑 𝐄𝐒 𝐒𝐀𝐋𝐀𝐀𝐌
📌Unamiliki kiwanja kwa kuanza na 195,000/=
📌Kila mwezi 195,000/=
📌Malipo ndani ya miezi 20 bila Riba
📌Bei nzima ya KIWANJA NI 3.9 mil(KIWANJA kilichopimwa..Sqm 400)
📌Sqm kuanzia 400-2000(unachagua ukubwa unaohitaji wewe)
𝐍𝐨𝐭𝐞:𝐔𝐓𝐀𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐌𝐈𝐋𝐈𝐊𝐈 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐖𝐈𝐙𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈 🇹🇿

🟢SIFA ZA MRADI WA BUYUNI
✔️km 47 kutoka ferry(daladala za kutosha)
✔️km 3 kutoka center (𝐁𝐞𝐚𝐜𝐡 💦💦💦💦
✔️km 1 kutoka barabara kuu
✔️Daladala kutoka ferry zipo za kutosha
✔️wekeza sasa…

Call/whatsp *0787315517

𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈 𝐂𝐋𝐈𝐍𝐈𝐂 𝐄𝐕𝐄𝐍𝐓Ilifanyika tareh 19/11/2022𝐊𝐈𝐆𝐀𝐌𝐁𝐎𝐍𝐈𝐌𝐍𝐈𝐒𝐏𝐀𝐀 🇹🇿🇹🇿 🇹🇿 Tulifanikiwa kuwapa 𝐇𝐀𝐓𝐈  baadhi ya wateja wetu wa...
22/11/2022

𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈 𝐂𝐋𝐈𝐍𝐈𝐂 𝐄𝐕𝐄𝐍𝐓
Ilifanyika tareh 19/11/2022
𝐊𝐈𝐆𝐀𝐌𝐁𝐎𝐍𝐈
𝐌𝐍𝐈𝐒𝐏𝐀𝐀 🇹🇿🇹🇿 🇹🇿

Tulifanikiwa kuwapa 𝐇𝐀𝐓𝐈 baadhi ya wateja wetu waliomaliza malipo yao,pale pale kwa event 💫💫💫🤝🤝🔥🔥🔥
𝐓𝐔𝐍𝐀𝐅𝐔𝐑𝐀𝐇𝐈 𝐒𝐀𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀 𝐊𝐔𝐖𝐀𝐏𝐀 𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐈𝐋𝐈𝐘𝐎 𝐒𝐀𝐇𝐈𝐇𝐈🥰😘😘

Ofisi makumbusho
Mwanga tower
Floor ya 6

𝐔𝐬𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐩𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝𝐢..𝐍𝐉𝐎𝐎 𝐓𝐔𝐁𝐀𝐃𝐈𝐋𝐈𝐒𝐇𝐀𝐍𝐄 𝐌𝐀𝐖𝐀𝐙𝐎 𝐍𝐀 𝐇𝐔𝐊𝐔 𝐓𝐔𝐊𝐈𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀 𝐊𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈...𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐊𝐖𝐀𝐊𝐎𝐎𝐎…....
22/11/2022

𝐔𝐬𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐩𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝𝐢..
𝐍𝐉𝐎𝐎 𝐓𝐔𝐁𝐀𝐃𝐈𝐋𝐈𝐒𝐇𝐀𝐍𝐄 𝐌𝐀𝐖𝐀𝐙𝐎 𝐍𝐀 𝐇𝐔𝐊𝐔 𝐓𝐔𝐊𝐈𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀 𝐊𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈...

𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐊𝐖𝐀𝐊𝐎𝐎𝐎….🔥🔥🔥𝐅𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐊𝐀 𝐊𝐈𝐊𝐀𝐁𝐄𝐄𝐄𝐄

𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐀 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐋𝐈𝐏𝐈𝐄 𝐊𝐈𝐃𝐎𝐆𝐎 𝐊𝐈𝐃𝐎𝐆𝐎 𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐑𝐈𝐁𝐀

𝐌𝐀𝐄𝐍𝐄𝐎 𝐘𝐀 𝐕𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀

📌Kigamboni-puna 𝐛𝐞𝐚𝐜𝐡 𝐬𝐢𝐝𝐞(mita 200)
📌Kigamboni-Cheka
📌Kimazi-Avic town(mita 150 from main road)
📌Kigamboni-Kimbiji (mradi unaangalia barabara)
📌LIGHT CITY PROJECT 𝐬𝐪𝐦𝟏@𝟏𝟎,𝟎𝟎𝟎/=
📌Kigamboni-kidagaa(Karibu na jeshi)
Mita 300 from main road)

📌Kigamboni-moris(mradi unaangalia barabara)

📌kigamboni-Buyuni
𝐕𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐕𝐈𝐌𝐄𝐏𝐈𝐌𝐖𝐀!!
𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐌𝐈𝐋𝐈𝐊𝐈 𝐋𝐀𝐙𝐈𝐌𝐀...

Ofisi
Makumbisho
Mwanga Tower
Floor ya 6
0787315517

#2022 #💎 #🔥🔥

22/11/2022
Site visit kesho mapema
22/11/2022

Site visit kesho mapema

Fika ofisini kwetu kwa maelezo zaidi
17/11/2022

Fika ofisini kwetu kwa maelezo zaidi

Site activities
14/11/2022

Site activities

𝐋𝐈𝐆𝐇𝐓 𝐂𝐈𝐓𝐘 𝐏𝐑𝐎𝐉𝐄𝐂𝐓💎💎💎📌𝐀𝐧𝐳𝐚 𝐧𝐚 𝟑𝟓𝟎,𝟎𝟎𝟎/=(𝐊𝐖𝐀 𝐒𝐐𝐌 𝟕𝟎𝟎)⚪️𝐌𝐎𝐑𝐈𝐒-𝐊𝐈𝐆𝐀𝐌𝐁𝐎𝐍𝐈🔸Mradi upo km 1.5 kutoka main road(makazi ya watu t...
11/11/2022

𝐋𝐈𝐆𝐇𝐓 𝐂𝐈𝐓𝐘 𝐏𝐑𝐎𝐉𝐄𝐂𝐓💎💎💎
📌𝐀𝐧𝐳𝐚 𝐧𝐚 𝟑𝟓𝟎,𝟎𝟎𝟎/=(𝐊𝐖𝐀 𝐒𝐐𝐌 𝟕𝟎𝟎)

⚪️𝐌𝐎𝐑𝐈𝐒-𝐊𝐈𝐆𝐀𝐌𝐁𝐎𝐍𝐈
🔸Mradi upo km 1.5 kutoka main road(makazi ya watu tayari)
🔸Km 37 kutoka ferr(barabara ipo vizuri mpaka site-𝐌𝐊𝐄𝐊𝐀!
🔸Sqm1@10,000/=
🔸huduma zote zipo ..
🔸Malipo miezi 20 bila Riba
🔸𝐕𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐕𝐈𝐌𝐄𝐏𝐈𝐌𝐖𝐀,𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐂𝐀𝐒𝐇 𝐔𝐏𝐀𝐓𝐄 𝐇𝐀𝐓𝐈(ndani ya 2 weeks)
Tuwasiliane 0787315517

Address

Mwanga Tower

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when miliki_kiwanja_na_spc_ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to miliki_kiwanja_na_spc_:

  • Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service?

Share