08/08/2026
*NYUMBA MPYA KALI !*
Unganishwa moja kwa moja na muuzaji
📍NYUMBA YA VYUMBA 3 INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA KISARAWE 2, DAR ES SALAAM - SQM300
👋Habari boss, Hii ni fursa nzuri ya kumiliki nyumba mpya bora na ya kisasa katika eneo zuri lenye urahisi wa kufikika. Inafaa kwa makazi ya familia au uwekezaji wa biashara za kupangisha
✨ *Sifa za Nyumba:*
💠 Vyumba vitatu
💠 Kimoja Master bedroom
💠 Sitting room
💠 Dining room
💠 Jiko
💠 Store
💠 Public toilet
💠 Maji na umeme wa Luku
💠 Hati safi office serikali ya mtaa
💠 Eneo salama na lenye mpangilio mzuri
🏠 Inafaa kwa makazi au biashara ya kupangisha
💰 *Inauzwa MIL49 za kitanzania* (Bei inaongeleka kiasi)
Wasiliana nasi kwaajili ya kuona Eneo ni BURE kabisa
☎️ 0790 414030
* *