25/04/2026
Kuna hawa miamba wawili wa sanaa wanatokea Malindi Ganda,wako na movie 2 chini ya maji Kila mmoja ana part yake,kwa maoni yako mpendwa ni part ya yupi unayemfagilia zaidi akijizolea alama nyingi kuliko mwengine tutaanza na part yake twendeni nalo waseeeiiiiyaaaaa.....jishindie msaniiii bora wakesho.
Kenyan Liex
#