23/10/2020
Mashamba ya chamari ya mananasi kwa bei ya chini kabisa. Bei yake ni 1/4 eka ni 30, 000/-. Unalipa 50% ya pesa kisha salio ni baada ya miezi mitatu yani 90 days. Chelewa chelewa utakuta mwana si wako.
Kwa maelezo zaidi piga simu; 0726-628250 au 0703-744251 au 0722- 573325. Karibuni nyote