26/06/2022
* WE ALL ARE WITNESSES
***************************&.WORKERS OF CHRIST
*************************
JESUS *
********
[.ACTS/Matendo ya Mitume:1:8-9;
[8];Lakini mtapokea nguvu,akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu;nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu,na katika Uyahudi wote,na Samaria, na hata mwisho wa nchi.
But ye shall receive power,after that the Holy Ghost is come upon you:and ye shall be witnesses unto me both in Jerusalem,and in all Judaea,and in Samaria,and unto the uttermost part of the earth.
[9];Akiisha kusema hayo,walipokuwa wakitazama, akainuliwa,wingu likampokea kutoka machoni pao.
And when he had spoken these things,while they beheld,he was taken up;and a cloud received him out of their sight:}* {.REVELATION/Ufunuo wa Yohana: 12:11-12;
[11];Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo,na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.
And they overcame him by the blood of the Lamb,and by the word of their testimony;and they loved not their lives unto the death.
[12];Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu,nanyi mkaao humo.Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.
Therefore rejoice, ye heavens,and ye that dwell in them.Woe to the inhabiters of the earth and of the sea! for the devil is come down unto you,having great wrath,because he knoweth that he hath but a short time.]* [. CORINTHIANS/1:Wakorintho:3:7-9;
[7];Hivyo,apandaye si kitu,wala atiaye maji,bali Mungu akuzaye.
So then neither is he that planteth any thing,neither he that watereth;but God that giveth the increase.
[8];Basi yeye apandaye,na yeye atiaye maji ni wamoja,lakini kila mtu atapata thawabu yake mwenyewe sawasawa na taabu yake mwenyewe.
Now he that planteth and he that watereth are one:and every man shall receive his own reward according to his own labour.
[9];Maana sisi tu wafanya kazi pamoja na Mungu; ninyi ni shamba la Mungu,ni jengo la Mungu.
For we are labourers together with God:ye are God's husbandry, ye are God's building:]* [. MATHEW/Mathayo: 7:13-14,21-23;
[13];Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana,na njia ni pana iendayo upotevuni,nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
Enter ye in at the strait gate:for wide is the gate,and broad is the way, that leadeth to destruction,and many there be which go in thereat:
[14];Bali mlango ni mwembamba,na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
Because strait is the gate,and narrow is the way, which leadeth unto life,and few there be that find it.
[21];Si kila mtu aniambiaye, Bwana,Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni;bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Not every one that saith unto me,Lord,Lord,shall enter into the kingdom of heaven;but he that doeth the will of my Father which is in heaven.
[22];Wengi wataniambia siku ile,Bwana,Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako,na kwa jina lako kutoa pepo,na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
Many will say to me in that day,Lord,Lord,have we not prophesied in thy name? and in thy name have cast out devils? and in thy name done many wonderful works?
[23];Ndipo nitawaambia dhahiri,Sikuwajua ninyi kamwe;ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
And then will I profess unto them,I never knew you: depart from me,ye that work iniquity.]