Pwani Trends

Call Directions

Pwani Trends Your Coast, Your News, Your Vibes! WhatsApp: 0758160696, Call: 0783868397 or email: [email protected]
(2)

Get the latest trends, juicy gossip, crime updates, breaking news, and side-splitting MEMEs from the Coast region of Kenya, all in one spot!

10/11/2026

Four Lowbed loaders zatikisa barabara ya malindi - mombasa

Msafara wa lowbed loader nne watikisa Malindi - Mombasa highway
10/11/2026

Msafara wa lowbed loader nne watikisa Malindi - Mombasa highway

🚜🔥 WHEEL LOADER NNE ZATIKISA MALINDI–MOMBASA HIGHWAY! UMEZIPISHIA WAPI?

Msafara wa lowbed trailer nne zilizobeba wheel loader umeonekana kwenye barabara kuu ya Malindi–Mombasa. Wakuu, nani ameziona hizi mashine barabarani? Umezipishia eneo gani na mnafikiri zinaelekea wapi? 👀

🕊️💔 FAMILIA NA WALIMU WAKUSANYIKA STAR HOSPITAL KWA SAFARI YA MWISHO YA MADAM EVELYNE NEEMA!Mwili wa mwalimu huyo unatar...
10/11/2026

🕊️💔 FAMILIA NA WALIMU WAKUSANYIKA STAR HOSPITAL KWA SAFARI YA MWISHO YA MADAM EVELYNE NEEMA!

Mwili wa mwalimu huyo unatarajiwa kuhamishwa kutoka Star Hospital hadi makafani ya Hospitali ya Rufaa ya Kilifi huku familia na wenzake wakijiandaa kumpa heshima za mwisho. 🕊️

🕊️💔 MSIBA WA MWALIMU EVELYNE NEEMA: FAMILIA NA WALIMU WAKUSANYIKA STAR HOSPITAL!

Kufuatia taarifa za kifo cha Madam Evelyne Neema, familia na jumuiya ya walimu wamekusanyika katika makafani ya Star Hospital kwa maandalizi ya kuuhamisha mwili wake na kuupeleka katika makafani ya Hospitali ya Rufaa ya Kilifi.

Safari ya mwisho ya mwalimu huyo inaendelea kuandaliwa huku familia na wenzake wakiungana katika kipindi hiki kigumu. Poleni kwa wote walioguswa na msiba huu. 🕊️

🤣🔥 “ROPY RON BILA MAKEUP ANAKAA MZEE K**A SIDI BAYA!”“Echo 254 brother unaona pisi yangu bila makeup ni mrembo huyo Roph...
10/11/2026

🤣🔥 “ROPY RON BILA MAKEUP ANAKAA MZEE K**A SIDI BAYA!”

“Echo 254 brother unaona pisi yangu bila makeup ni mrembo huyo Rophy ron bila makeup anakaa mzee k**a Sidi Baya 😆 kijana before ukuwe na mpenzi fanya mamuzi kwenye pisi ya kishua k**a hiii hii ya tajiri Christine Muema 😘 nihayo tu.”

— MEDALLION SIHABA

🤣🔥 MEDALLION SIHABA AINGIA KWA BEAUTY BATTLE! SASA MKE WA ECHO 254 NDIYE AMEWEKWA KATIKATI YA VISHINDO! 👀

Medallion Sihaba amemrushia Echo 254 maneno ya kumchokoza kuhusu mkewe, Rophy Ron, akijilinganisha naye kwa upande wa urembo bila makeup. Katika ujumbe wake, Medallion amedai Rophy Ron bila makeup anaonekana mzee k**a Sidi Baya, huku akijisifia kwa kumtaja Christine Muema k**a mfano wa mwanamke wa kishua. 😆

Kauli hiyo imefungua ukurasa mwingine wa vijembe vya mitandaoni, huku majina ya Echo 254, Rophy Ron na Christine Muema yakikutana kwenye mjadala wa urembo. Je, Echo 254 atajibu dongo hili au ataamua kuliacha lipite? 😂🔥

🔥🎬 BAMBA NA JILA KUPATA KOLABO MPYA YA KIGIRIAMA!“huyu mwana dada karibuni tutafanya kolabo khali kuhusu hali halisi ya ...
10/11/2026

🔥🎬 BAMBA NA JILA KUPATA KOLABO MPYA YA KIGIRIAMA!

“huyu mwana dada karibuni tutafanya kolabo khali kuhusu hali halisi ya huku kwetu bamba na jila🤝🤝”

— KHAMISI JIPANGE

🔥🎬 BAMBA NA JILA KUPATA KOLABO YA KIGIRIAMA! KHAMISI JIPANGE AWAACHA MASHABIKI WAKISUBIRI KWA HAMU!

Muunda maudhui Khamisi Jipange kutoka Bamba, Ganze, anayejulikana kwa kutumia lugha ya Kigiriama kuandaa maudhui yake, ametangaza maandalizi ya kolabo mpya kuhusu hali halisi ya maisha ya watu wa Bamba na Jila. Kauli yake imewaacha mashabiki wakisubiri kuona atakachowaletea kwenye ujio huo mpya. 🤝🔥

Je, kolabo hii itagusia changamoto zipi za wenyeji, na ni ujumbe gani Khamisi anataka kuufikisha kwa jamii? Wapenzi wa maudhui ya Kigiriama, mko tayari? 👀

Dabaso
10/11/2026

Dabaso

🔥 DABASO, MAKUTANO YA NJIA MBILI! 📍
Turtle Bay–Gede kupitia Sita na Timboni–Crabshark zinakutana hapa. Wakuu, mnapajua? 👀

🔥 “SOMETHING NEEDS TO BE DONE URGENTLY!”"We are clearly getting something wrong, and we need to identify where the probl...
10/11/2026

🔥 “SOMETHING NEEDS TO BE DONE URGENTLY!”

"We are clearly getting something wrong, and we need to identify where the problem lies and address it."

— HON. ZAWADI KINGI, GANZE MP ASPIRANT

🔥 ZAWADI KINGI AHOJI MATUMIZI YA FEDHA ZA GANZE: “KUNA MAHALI TUMEKWAMA!”

Mbunge wa Ganze anayewania kiti hicho, Hon. Zawadi Kingi amesema amepitia mgao wa fedha unaoelekezwa Ganze na anaamini kuna mambo yanahitaji kuchunguzwa na kurekebishwa kwa haraka.

Ametaka wananchi watafakari pamoja, watambue chanzo cha changamoto na kutafuta mwelekeo mpya wa maendeleo ya Ganze. Je, ni maeneo gani yanahitaji kuangaliwa upya ili fedha zinazotengwa zilete matokeo yanayotarajiwa? 👀

Jilore
10/11/2026

Jilore

🌄🔥 JILORE INA VITU VYA KUKUVUTIA! LAKINI WEWE HUKUBALI NINI ZAIDI?

Good morning kutoka Jilore! Ukiwa hapa, ni nini kinakuvutia zaidi: msitu uliopandwa, mandhari ya asili, barabara inayopanda na kuteremka mlimani, Ziwa la Jilore au shamba la umwagiliaji lililo chini ya mlima?

Weka chaguo lako kwenye comments! 👇

🔥🚨 “BARABARA SI FADHILA TUNAYOFANYIWA!”“We’re equally taxpayers so implementation of such projects should never be const...
10/11/2026

🔥🚨 “BARABARA SI FADHILA TUNAYOFANYIWA!”

“We’re equally taxpayers so implementation of such projects should never be construed as a favour to us.”

— TEDDY NGUMBAO MWAMBIRE

🔥🚨 GANZE YAAMKA NA VITA VYA MANENO! MWAMBIRE AMVAMIA KAZUNGU CHARO KWA KAULI KALI, ASHAMBULIA SHEREHE ZA BARABARA!

Mvutano wa kisiasa Ganze wazidi kupamba moto! Aliyekuwa Mbunge Teddy Ngumbao Mwambire amemkosoa vikali Mbunge wa sasa Kazungu Kenneth charo kufuatia sherehe za barabara ya Kilifi–Ganze–Bamba. Mwambire anadai bado kuna makubaliano muhimu, ikiwemo miradi ya CSR, ambayo hayajatekelezwa. Amemtaka Charo kutafuta majibu kutoka kwa Mhandisi wa Kanda ya Pwani badala ya kufanya kile alichokitaja k**a ziara za kutafuta sifa na kupotosha umma.

Lakini Mwambire hajaishia hapo! Ameibua upya madai kuhusu vurugu zilizotokea wakati wa uzinduzi wa mradi mwaka 2022, kuchelewa kwa utekelezaji na kile anachodai kuwa mabadiliko ya makubaliano ya awali. Kauli yake ya kwamba barabara si hisani bali ni haki ya walipa kodi imeongeza makali kwenye mvutano huu. Je, Charo atajibu tuhuma hizi au Mwambire ameanzisha ukurasa mpya wa vita vya kisiasa Ganze? 👀🔥

🔥🎤 DOGО RICHIE AREJEA KWA MIKWARUZO?Presenter Kai amempa mkongwe huyu jukwaa la kuonyesha kipaji chake tena! Je, huu ndi...
10/11/2026

🔥🎤 DOGО RICHIE AREJEA KWA MIKWARUZO?

Presenter Kai amempa mkongwe huyu jukwaa la kuonyesha kipaji chake tena! Je, huu ndio mwanzo wa comeback ya kishindo kwenye muziki wa Pwani? 👀🔥

🔥🎤 PRESENTER KAI AMFUNGULIA MILANGO DOG0 RICHIE! MSANII MKONGWE APEWA JUKWAA LA KUWAKA TENA!

Dogo Richie amepata jeki ya kazi baada ya Presenter Kai kumuangazia kwenye majukwaa yake na kumpa nafasi ya kuchana mistari ya ngoma yake kwa freestyle akiwa amevalia headphone. Hatua hiyo imezua matumaini ya kurejea kwa mkongwe huyu kwenye game ya muziki wa Pwani.

Je, huu ndio mwanzo wa comeback ya Dogo Richie, au bado ana kazi ya kuthibitisha kuwa moto wake haujazimika? 👀🔥

Address

Mombasa/Malindi Road
Mombasa
80200

Telephone

+254783868397

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pwani Trends posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Nearby realtors & realty services