27/07/2024
Account yangu ya facebook wame ihak na matapeli wa mtandaoni na wanaitumia hao wezi ambayo ina picha yangu nikiwa dukani nami nime ilogn out kwa hiyo anae nifahamu yeyote asikubali kufuata maelekezo yeyote yale kutoka kwa hao matapeli k**a utakuwa una chat ujue sio mim, hiyo account ina tumika na vibaka na msikubali kupokea link yeyote kutoka kwao maana wanajitambulisha k**a wana toa misaada ya kipesa kupitia shirika la afia duniani UNICEF na wanatumia massenger na whatsap.Tahadhari usije ukafuata maelezo yao