10/06/2026
"Si ati msee hakuwa ameambiwa... aliona tu atasukuma bahati. ๐"
Kuna jamaa alikuja base akilalamika gari yake ikitoa ka-sauti mbele. Sio kubwa sana, ka-knock tu kadogo akiwa kwa mashimo.
Nikachunguza nikamshow, "Budaa, hii kitu shughulikia mapema juu ikiachwa itakugharimu."
Akasema, "Aaah boss, sai mambo ni ngumu. Ngoja kwanza nirecover."
Msee akapotea.
Karibu mwezi moja baadaye narudi kumwona tena. Safari hii si yeye alikuwa anaendesha gari. Ilikuwa imefika kwa tow truck. ๐
Kumbe ile part ilikuwa imeisha kabisa, ikaharibu zingine njiani. Ile kazi ya 3k-5k ikageuka kazi ya pesa mingi sana.
Akiwa amekaa hapo kwa garage akashika kichwa akasema,
"Wueh boss, hii Kenya kitu expensive ni kupuuza shida."
Hapo wote tukacheka juu ni ukweli. ๐
Wasee wengi huja garage wakitaka kuokoa pesa, lakini kuchelewa kurepair ndio huongeza bill.
Ukiskia gari imeanza story zake, usingoje mpaka ikuwe content ya tow truck.
๐ Wong Auto Care
๐Call/ Whatsapp 0758577175
Tunaangalia shida kabla shida ikutafute.