MrViwanja Arusha&Moshi

MrViwanja Arusha&Moshi Wauzaji Viwanja kwa Bei Rahisi Arusha Na Moshi kwa Malipo Ya Awamu Ndani Ya Miezi Sita 🖼📞0762011023

08/05/2026

💥💥 Ofa Bado inaendelea Kisongo Waya

✅Wengine wanangoja “nitakuja kesho”
Wengine wanachukua huku Leo 🤗

✅Hii ni Kisongo Waya Karibu na kanisa la vuka yordan kwa pastor Sumbe

💰Bei Sqm 1 Kwa elf 13500 tu Kutoka elf 15000 Unapata 15/20 Kwa 4.5M tu

📍Ofisi zetu zinapatikana Sakina Oil com Jengo La Kiure construction

📞Call/WhatsApp 0799699765

04/05/2026

🫴Hii ni moja ya project zetu zilizofanikiwa Kisongo Shalom
✅Na Sasa Ina mafanikio na maendeleo Makubwa sana

✅Mwaka Jana tulifanikiwa kuuza Viwanja vyote na Sasa Wateja wanaendelea na ujenzi na wengine Tayari kwa makazi

✅ Usikubali kupitwa Tena na Fursa Kisongo CMC Ofa inaendelea viwanja Vipo Vya Kutosha 🤗

✅Mapema Ndio best Tukutane site

📍Ofisi Zetu Sakina Oil com
📞Call/WhatsApp 0799699765

29/04/2026

✅Hii Hapa fulsa ya Kumiliki Kiwanja karibu na Barabara na kinafaa kwa makazi na biashara 🤗

✅Mita 50 Kutoka Barabara Kuu ya Arusha -Namanga

💰Bei Ganda La ndizi Sqm 1 ni elf 25000 Tu

📍Ofisi zetu Sakina Oil Com Jengo La Kiure construction
📞Call/WhatsApp 0799699765

27/04/2026

🔊🔊🔊 Ofa Ofa Hii ni Kisongo CMC
✅Mita 400 kutoka barabara Kuu ya Arusha-Babati

✅Usipange kukosa ofa hii ya Meimosi Tajiri tunathamini nakutambua mchango wako katika kazi karibu ujizawadie Utajishukuru baadae
✅Huduma za kijamii zinapatikna

💰Sqm 1 Kwa elf 13500 TU

📍Ofisi zetu Sakina-Oil com Tunapatikana Jengo la Kiure Construction
📞Call/What'sApp 0799699765

25/04/2026

🔥 MEI MOSI OFFER – NGARAMTONI MAMSA 🔥

✅Hii siyo offer ya kawaida TAJIRI ni nafasi ya kuingia kwenye daraja la wamiliki wa ardhi za KIFAHARI

Bei imeshuka na OFFER imeanza rasmi leo:
💰 Cash: 40,000 ➝ 35,000/sqm
📈 Awamu: 45,000 ➝ 40,000/sqm

📍Eneo sahihi kwa UWEKEZAJI WA PESA YAKO, Hapa hatukuuzii kiwanja tu… unanunua future yako.

⚠️ Kilicho Bora Zaidi:
Unaweza kuanza na 10,000,000 tu NA KUJIPATIA MKATABA WA KIWANJA CHAKO

📍 Location premium
📊 Value inapanda kila siku
🏡 Perfect kwa investment au makazi ya hadhi

Wakati wengine wanatafuta bei nafuu… wewe chukua location sahihi.

👉 Book site visit sasa
KWA KUWASILIANA NASI CALL/WHATSAPP +255 799 699 765

24/04/2026

🤗SALE BADO INAENDELEA!
Kisongo CMC – mita chache tu kutoka lami 🚧

💯Viwanja vinaanzia 15,000 TSH/sqm
✅Mapema ndo best – bei ya kila mtu apate

📈Maeneo yanapanda thamani kila siku
🏃🏾‍♂️ Chukua hatua sasa, kesho utajishukuru!

📞 Wasiliana nasi leo – nafasi zinachukuliwa FAST!
Kijani Real Estate – Tunauza ardhi, tunajenga ndoto

24/04/2026

Arusha inaamka na fursa mpya! 🔥🏡
Ngaramtoni Mamsa & Kisongo – viwanja vinaanzia 15,000 TSH/sqm tu!

📍Hii ni OFFER KWA KUTHAMINI MCHANGO WAKO KATIKA KAZI UNAYOFANYA💯

🤗Viwanja VIREMBO na Huduma zote zipo karibu TAJIRI

🙏🏽Tunawashukuru sana wateja wetu wanaoendelea kujitokeza kwa wingi kufanya site, ni mwendo wa kuona kuchagua na kulipia

Usikose nafasi hii – leo ukiamua, kesho unajipongeza!

Call/WhatsApp +255 799 699 765 / 0798 119 765

📍 Kijani Real Estate
“Tunauza ardhi, tunajenga ndoto.” 🌱

24/11/2025

Viwanja vya Kuvunjia Laana & Vikoba – Kisongo Waya! 🎉

Msimu huu wa sikukuu tunaingia na neema mpya na Sale Rasmi Inaanza Jumamosi Week Hii 22/11/25 🌿
Kijani Real Estate itazindua rasmi viwanja vipya kwa bei ya TZS 1,900,000 tu

Hiki ndicho kiwanja cha kuvunjia laana za umasikini na kupanda mbegu za kizazi chako cha kesho. 🌱

Location: Kisongo Waya
Price: TZS 1.9M Malipo Ya Cash Na 2.3 Kwa Installment
OFA: Nyama kwa kila mnunuzi 🎄🔥
Brand: Kijani Real Estate — Tunauza ardhi, tunajenga

📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0762 011 023
📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0743 382 474
📍 Kijani Family — Led By Grace of God.

Address

Kisongo
Arusha

Telephone

+255762011023

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MrViwanja Arusha&Moshi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category