Feythan Real Estate Company Limited

Feythan Real Estate Company Limited Feythhan Real Estate Company Limited is an independent real estate agency based in Arusha, Tanzania.

24/12/2024
House For SaleLocation : Njiro ArushaContact : +255 688 347 087Nyumba InauzwaSehemu ilipo : Njiro ArushaMawasiliano : +2...
22/11/2024

House For Sale
Location : Njiro Arusha
Contact : +255 688 347 087

Nyumba Inauzwa
Sehemu ilipo : Njiro Arusha
Mawasiliano : +255 688 347 087

10/12/2023
10/12/2023

Karibuni
Viwanja vinauzwa eneo la Ng'ongonha, Jijini Dodoma karibu na Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) na Hospitali ya Benjamin Mkapa

We wish you a Happy Festive Season !
24/12/2021

We wish you a Happy Festive Season !

MILIKI KIWANJA DODOMAUmeshafikiria ukuaji wa kasi wa jiji la Dodoma kutokana na kuwa makao makuu ya nchi?Unafahamu kuwa ...
21/07/2021

MILIKI KIWANJA DODOMA

Umeshafikiria ukuaji wa kasi wa jiji la Dodoma kutokana na kuwa makao makuu ya nchi?

Unafahamu kuwa miaka michache ijayo Dodoma itakuwa na idadi kubwa ya wakazi pamoja na mahitaji makubwa ya makazi?
Una mpango gani kuhakikisha unakuwa mmoja wa wamiliki wa nyumba katika jiji linakuwa kwa kasi siku hadi siku?

Feythan Real Estate Limited tunakupa mtonyo huu. Miliki viwanja vizuri vilivyo katika mpangilio maalum wa mipango miji katika jiji la Dodoma, jirani kabisa na Chuo Kikuu Cha Dodoma na Hospitali ya Benjamin Mkapa. Bei ni nafuu sana kuanzi Tsh. 5000/- kwa square meter.

MAWASILIANO: 0763 092 850 | 0688 347 087

MILIKI KIWANJA DODOMAUmeshafikiria ukuaji wa kasi wa jiji la Dodoma kutokana na kuwa makao makuu ya nchi?Unafahamu kuwa ...
05/07/2021

MILIKI KIWANJA DODOMA

Umeshafikiria ukuaji wa kasi wa jiji la Dodoma kutokana na kuwa makao makuu ya nchi?

Unafahamu kuwa miaka michache ijayo Dodoma itakuwa na idadi kubwa ya wakazi pamoja na mahitaji makubwa ya makazi?

Una mpango gani kuhakikisha unakuwa mmoja wa wamiliki wa nyumba katika jiji linakuwa kwa kasi siku hadi siku?

Feythan Real Estate Limited tunakupa mtonyo huu. Miliki viwanja vizuri vilivyo katika mpangilio maalum wa mipango miji katika jiji la Dodoma, jirani kabisa na Chuo Kikuu Cha Dodoma na Hospitali ya Benjamin Mkapa. Bei ni nafuu sana kuanzi Tsh. 5000/- kwa square meter.

Kutokana na kuwa makao makuu ya serikali na hivi karibuni kupandishwa hadhi kuwa jiji, ukuaji wa mkoa wa Dodomaumekuwa n...
24/06/2021

Kutokana na kuwa makao makuu ya serikali na hivi karibuni kupandishwa hadhi kuwa jiji, ukuaji wa mkoa wa Dodomaumekuwa ni wa kasi sana na maendeleo ya haraka yamesababisha wafanyabiashara na wawekezaji kufikiria aidha kuongeza biashara au kuanzisha biashara mpya katika jiji hili.

Ukuaji wa jiji na maendeleo vimevutia ongezeko la kasi la idadi ya watu hivyo kuongeza mahitaji na thamani ya ardhi na makazi katika jiji hili.

Ukiwa k**a Mtanzania usiachwe nyuma na maendeleo haya, hakikisha unamiliki ardhi katika jiji la Dodoma.

Sisi Feythan Real Estate tupo kukuwezesha kutimiza hilo. Tunavyo viwanja vizuri na vilivyopimwa, vinafaa kwa ujenzi wa makazi na biashara.

Wasiliana nasi leo kwa namba 0763 092850 | 0715 092850 | 0688 347087

Address

First Floor, Uchumi House. Along Sokoine Road
Arusha

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:30
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

+255688347087

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Feythan Real Estate Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Feythan Real Estate Company Limited:

Share

Category