14/04/2023
Kampeni ya Soma na Mti awamu ya pili itafanyika 18/04/2023 Jumanne Kata ya Kikwe. Sisi sote ni wadau wa Mazingira karibuni tushiriki kupanda miti zaidi ya elfu 20 vijiji vya Nambala, Kikwe, Maweni, na Karangai.
.
DOMINICK KAPUMBE
TEPA- Kanda ya Kaskazini..