KamomiRealestate

Directions

KamomiRealestate Kaii Properties and Realestate.

Kaii Properties & Real Estate inawatakia wapendwa wateja wetu wote Heri ya Siku ya Mwalimu Nyerere.
14/10/2026

Kaii Properties & Real Estate inawatakia wapendwa wateja wetu wote Heri ya Siku ya Mwalimu Nyerere.

12/10/2026

Mateves Hill iko Arusha, sehemu yenye fursa kedekede. Kuanzia nyumba za Airbnb, hotels, makazi hadi nyumba za kupanga !!!

Size ni 6 Arces
Bei ni 125 million per acre

Wasiliana nasi sasa, kuwahi ndo kupata !!!!

09/10/2026

A weekend Reminder that your future is now !!!! Purchase a plot today with Kaii properties & Real Estate and ensure that your future is secured !!!

TUNAKUTHAMINI, Asante kwa Kila Hatua !!!
05/10/2026

TUNAKUTHAMINI, Asante kwa Kila Hatua !!!

05/10/2026

USIKUBALI !!!

Kila ufanyapo maamuzi ya kununua kiwanja hakikisha kuna vitu muhimu wakati wa ku sign documents na moja wapo ni mashahidi !!!!

Elimika na Kaii properties, we wish you a Great Week !!!

03/10/2026

Siku zote tupo mbele ya muda kuhakikisha wateja wetu wanapata kile kilicho bora na leo tumetoa dondoo tu ya nini huwa tunawaza kila tuonapo eneo jipya !!!

Tunawatakieni weekend njemaaaaa !!!

26/09/2026

Salamu hizi ziwafiki wote wenye ndoto ya kumiliki viwanja Jijini Arusha, hii ni baadhi ya Project/Viwanja Kaii properties tulivyo navyo kwa ajili yako !!!!

NB: viwanja vyote hivi vipo Jijini ARUSHA !!!

K**a ulikuwa unasubiri muda sahihi wa kuanza kujenga kesho yako, huu ndio muda wa kufanya move yako.Kutoka kwenye ndoto ...
21/09/2026

K**a ulikuwa unasubiri muda sahihi wa kuanza kujenga kesho yako, huu ndio muda wa kufanya move yako.

Kutoka kwenye ndoto mpaka kwenye ardhi yako mwenyewe, Kaii Properties tupo kuhakikisha hatua yako inayofuata inakuwa hatua yenye maana.

17/09/2026

Kiwanja cha ndoto yako kinakusubiri Arusha na Moshi!!!

Unatafuta eneo la kujenga nyumba, kuanzisha biashara au kuwekeza kwa faida ya baadaye? Sisi Kaiii Properties & Real Estate tunakuletea viwanja vilivyo salama na katika maeneo yenye fursa kubwa za maendeleo.

Wasiliana nasi leo tukusaidie kupata kiwanja kinachokufaa. Usisubiri kesho, anza kuwekeza leo !!!!

13/09/2026

Tunawatakia Jumapili njema yenye baraka kutoka Kaii Properties Kuja kwenu wapendwa wateja wetu !!!

😅😅 fahamu zaidi kuhusu team ya Kaii inayo kuhudumia kila siku na ufanyapo maulizo ya viwanja vyetu !!!!

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KamomiRealestate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category