19/07/2025
VIWANJA JIRANI NA UWANJA WA AFCON, ARUSHA .USIKOSE... (AFCON CITY)
Wakati wa kuwekeza ni sasa kwasababu Ardhi inapanda thamani Kila siku Hivi viwanja vipo MATEVEZI-NGARAMTONI YA CHINI unaweza kujenga nyumba za makazi au matumizi mengine kutokana maitaji yako. Miondombinu yote k**a maji,umeme barabara na huduma zote za kijamii zinapatikana. 💥
MATEVEZI-Ngaramtoni ya chini. Commercial plot & Residential plot's: sqm 400 👉 kuanzia 5m/= 👉 Karibu utembelee miradi yetu kuona ni siku yoyote. 👉
Kwa maelezo zaidi Call/Whatsapp; 0712397272.