Crucial Real estate

Directions

Crucial Real estate Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Crucial Real estate, Real Estate, Bagamoyo.

04/08/2026

MRADI WETU WA KEREGE CHAMA

Vimebaki viwanja 5 tuh

Site visit ni kila siku, kwa maelezo zaidi tupigie
📞0760026606

03/08/2026

* 📍 Kerege Chama
* 🚗 Km 1.5 kutoka Bagamoyo Road
* 📐 Viwanja kuanzia 800 sqm
* 📑 Mradi umepimwa
* 🏥🏫 Umezungukwa na huduma zote za kijamii
* 💰 Flat Rate
* Cash: TSh 23,000,000 pamoja na hati miliki
* Installment: TSh 25,000,000 pamoja na hati miliki
* 💳 Lipa 50% ya awali, salio ndani ya miezi 4.

02/08/2026

🤍Jumapili Njema! 🙏

Mungu akuwe sababu ya tabasamu lako leo, akupe amani moyoni, na afungue milango ya baraka leo na wiki hii mpya.

Barikiwa sana! ✨

Kutoka 14-14


21/07/2026
21/07/2026

NEW PROJECT ALERT - KEREGE CHAMA”).
✅ Kerege CHAMA
✅Km 1.5 kutoka Bagamoyo Road
✅Viwanja kuanzia 800 sqm
✅Mradi umepimwa
✅ Umezungukwa na huduma zote za kijamii
💰Flat Rate
✅ Cash: TSh 23,000,000
✅Installment: TSh 25,000,000
✅Lipa 50% ya awali, salio ndani ya miezi 4.

Land_ realtors Land_ realtors

20/07/2026

Kwa nini uwekeze kwenye ardhi? 🌍🏡

Ardhi ni mojawapo ya uwekezaji salama na wenye thamani ya kudumu. Tofauti na vitu vingine vinavyopungua thamani kadri muda unavyopita, ardhi mara nyingi huongezeka thamani kadri eneo linavyoendelea kukua.

Faida za kuwekeza kwenye ardhi:
✅ Thamani yake huongezeka kadri muda unavyopita.
✅ Ni uwekezaji salama wa muda mrefu.
✅ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi au ya kupangisha.
✅ Unaweza kuiuza baadaye kwa faida kubwa.
✅ Unaweza kuitumia k**a dhamana kupata huduma za kifedha, pale inapokidhi vigezo vya taasisi husika.
✅ Inakupa uhuru wa kupanga maendeleo ya baadaye kulingana na malengo yako.

Usisubiri mpaka bei zipande. Wekeza leo na ujenge msingi wa maisha bora ya kesho. Kumbuka, fursa nzuri huanza na uamuzi sahihi.

📞 0760026606
Wasiliana nasi leo kwa ushauri na kupata viwanja vilivyopimwa katika maeneo salama na yenye fursa za ukuaji.

ArdhiSalama
Land_ realtors Land_ realtors

Gibeahestate & GGL 🔥🔥🔥🔥Twenzetusite site Kerege 🔥Site visit. 📞0760026606
20/07/2026

Gibeahestate & GGL 🔥🔥🔥🔥
Twenzetusite site Kerege 🔥
Site visit. 📞0760026606

New project 🔥🔥🔥🔥
14/07/2026

New project 🔥🔥🔥🔥

Address

Bagamoyo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Crucial Real estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category