bagamoyo_affordable_plots

Directions Contact the business

bagamoyo_affordable_plots Everything You Need is Affordable

Mwezi mpya, malengo mapya na nafasi mpya za kuwekeza kwenye ardhi yako. 🌱🏡Usimalize 2026 ukiwa bado unasema “mwaka huu n...
01/10/2026

Mwezi mpya, malengo mapya na nafasi mpya za kuwekeza kwenye ardhi yako. 🌱🏡

Usimalize 2026 ukiwa bado unasema “mwaka huu nitanunua kiwanja.”
October uwe mwezi wa kuchukua hatua. 🔑

MIRADI YETU;
📍 KAOLE BEACH — mita 400 kutoka beach
📍 KITOPENI — 1.5km kutoka lami
📍 MATAYA — 2.5km kutoka lami
📍 MAKURUNGE — 1km kutoka lami

💰 Viwanja kuanzia Tsh 4,000,000/=
📐 Ukubwa tofauti kulingana na eneo.

❤️🖤

📞 Wasiliana nasi: 0759850993

23/09/2026

Kula maisha leo, lakini usisahau kuandaa maisha ya kesho. 🏡✨

Anza kujenga kesho yako kwa kuwekeza kwenye ardhi.

📍 Makurunge, Bagamoyo
💰 Viwanja kuanzia TZS 4,000,000/= na kuendelea
📌 Malipo kwa awamu yanapatikana.

Usiishie kupanga maisha ya kesho—anza kuyaandaa leo.



Wasiliana nasi twende site 0759850993

21/09/2026

🏡 MAKURUNGE — ARDHI YA LEO, FURSA YA KESHO! 🛣️🌍

Unatafuta eneo lenye fursa kubwa ya maendeleo na uwekezaji wa muda mrefu? Makurunge ni sehemu ya kuangalia. 📈

📐 Viwanja 400–2,000 sqm
💰 TZS 10,000/= kwa sqm
🛣️ Pembeni ya fursa zinazokuja na Barabara ya Afrika Mashariki: Makurunge–Saadani–Tanga
💧 Maji | ⚡ Umeme | 🛣️ Barabara
📍 Takribani km 1 kutoka Barabara ya Bagamoyo–Msata

Wekeza mapema kwa thamani ya kesho. 🌱🏡

📞 0759 850 993

10/09/2026
07/09/2026

Karibu Bagamoyo Affordable Plots tuna miradi mbalimbali ya viwanja vilivyopimwa hapa bagamoyo;

✅Kaole Beach
✅Kitopeni
✅Mataya
✅Makurunge

Wasiliana nasi tupange siku ya kutembelea site zetu
📲 0759850993

01/09/2026

Happy New Month

22/08/2026

Usinunue kwa kusikia tu—njoo ujionee mwenyewe! 🏡📍

Wikiendi hii tunawakaribisha kwenye site visit za miradi yetu mbalimbali Bagamoyo. Chagua eneo linalokufaa, tembelea site na anza safari ya kumiliki ardhi yako. 🌱✨

Miradi yetu;
✅Kaole Beach
✅Mataya
✅Kitopeni
✅Makurunge


📲0759850993

Address

Bagamoyo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bagamoyo_affordable_plots posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to bagamoyo_affordable_plots:

Shortcuts

Share

Category