Mwemba asset

Mwemba asset Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwemba asset, Real Estate, Mbagala mbande magengeni, Dar es Salaam.

Ofa yetu Bado lnaendelea ya funga mwaka kibabe na ofa Kabambe sio wengine ni wale wale Hustler best properties co.ltd tu...
11/11/2022

Ofa yetu Bado lnaendelea ya funga mwaka kibabe na ofa Kabambe sio wengine ni wale wale Hustler best properties co.ltd tumekuja na ofa kutoka kuuza sQm Moja 8500/ Sasa ni 6000/ ✅TU ofis yetu ilipo ni Mbande magengeni mradi upo Mbande Mipeko vipimo vya viwanja vyetu kuazia

✅SQm 200 sawa na Miata 15/14 =na fut 50/45

✅SQm 300 sawa na Miata 20/15=na fut 66/50

✅SQm 400 sawa na Mita 27/15 =na fut 90/50

✅SQm 500 sawa na Mita 30/17=na fut 100/56

Na sifa Za Mradi Wetu upo

✅umeme

✅Shule

✅Maji
✅Zahanati
Na kutoka kutoka Barabara ya lami ni kilometa 5 Kwa mawasiliano zaidi📞 0684394716 karibun wote

Haya Sasa Sio Wengine Ni Wale Wale...,,,  BEST PROPERTIES CO LTD, tumekuja kufunga mwaka Kibabe Na   Kabambe Katika Msim...
04/11/2022

Haya Sasa Sio Wengine Ni Wale Wale...,,,
BEST PROPERTIES CO LTD, tumekuja kufunga mwaka Kibabe Na Kabambe Katika Msimu Huu wa Sikukuu...,,,

Njoo Ujipatie Punguzo La Bei La Viwanja Vizuri Katika Mradi Wetu Mpya...,,,🤙
MZUNGU CITY (Mbande Mipeko)
Kutoka SQM 1 Tsh 9,000/=
Sasa ni Tsh 6,000/=✓Tu,

Ndiooo...,,,,Kwa Tsh 6,000/=✓SQM 1.

Ukubwa wa Viwanja kuazia SQM 200,300,400,500,600,800 Hadi SQM 1200.

Sifa Za Mradi...,,,,
✓Viwanja Vimepimwa
✓Viwanja Vipo Tambarare
✓Huduma Zote Za Kijamii Zipo{Maji,Shule,Zahanati,Umeme N.K}
✓Umbali Kutoka Barabara Kuu Mpaka Site Ni KM 5.

☎️ 0684394716✓

Address

Mbagala Mbande Magengeni
Dar Es Salaam

Telephone

+255684394716

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwemba asset posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category