Peter G. Nafutal.

Peter G. Nafutal. Personal Development and Financial Growth

11/07/2024

HILI LIPO WAZI...✍️

Usipoona fursa kwenye Kila changamoto BASI utakuwa unaona changamoto kwenye Kila FURSA...
😂😂

03/07/2024

Unatakiwa upate ushauri kwa mtu Gani kuhusiana na unachokifanya??

Mambo ya biashara unapata ushauri kwa mtu Gani, je ni mfanya biashara alitefanikiwa au kwa ndugu,jamaa na rafiki yako ambaye hata hafanyi biashara??

Win with me in business wa.me wa.me/255717392665

K**a unahitaji kuanza biashara nipo tayari kushirikiana na wewe hatua kwa hatua kikubwa uwe tu na mtaji wako

02/07/2024

Wewe ni kijana yupi Kati ya hawa wawili???

Je, unajitegemea kimawazo na kusimamia kile ulichokwisha kukipima katika ufahamu wako binafsi??

Fursa ipi uliwahi kuipata na ukaipuuza ukaja kujutia baadae??

Tufanikiwe pamoja, karibu uanzishe biashara yako kwa mtaji Mdogo Sana 255717392665

Address

Ilala
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Peter G. Nafutal. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category