Surveyor Obare

Surveyor Obare Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Surveyor Obare, Surveyor, Dar es Salaam.

✓TUNAPIMA MASHAMBA

✓TUNAPIMA VIWANJA

✓TUNAFUFUA NA KURUDISHA MIPAKA

✓TUNAFUATILIA HATI

✓TUNAFUATILIA MATUMIZI YA ARDHI KULINGANA NA RAMANI YA MIPANGO MIJI HUSIKA

✓TUNATOA USHAURI/ELIMU KUHUSU ARDHI

�0719-327463/0742-070083

Tunayofuraha kufanya kazi na  K**a Balozi  Wetu!!
30/07/2023

Tunayofuraha kufanya kazi na K**a Balozi Wetu!!

Kwa Huduma Bora Na Za uhakika Tuone SOPC-TZ0719-327463
15/05/2023

Kwa Huduma Bora Na Za uhakika Tuone SOPC-TZ

0719-327463

Unahitaji Kufuatilia na Kufanyiwa Mchakato wa Kupata Hati Miliki Ya Kiwanja Chako ???Tuone  Tukusaidie Kwa Gharama Nafuu...
31/03/2023

Unahitaji Kufuatilia na Kufanyiwa Mchakato wa Kupata Hati Miliki Ya Kiwanja Chako ???Tuone Tukusaidie Kwa Gharama Nafuu!

0719-327463-Tupigie !

🔸Hati Miliki Ndiyo Nyaraka Pekee inayoonyesha Na Kithibitisha Umiliki Wa Ardhi.🔸Mkataba Wa Mwanasheria Ni Mkataba wa Kuo...
25/03/2023

🔸Hati Miliki Ndiyo Nyaraka Pekee inayoonyesha Na Kithibitisha Umiliki Wa Ardhi.

🔸Mkataba Wa Mwanasheria Ni Mkataba wa Kuonyesha Jinsi ulivyopata Ardhi hiyo K**a ni Kwa Kununua ,kugaiwa au kurithishwa.

🔸Hivyo fanya Upimaji Kwenye eneo lako ili Upate Umiliki Kwa Ajili Yako na Kizazi Chako Mana watu huongezeka Ila Ardhi haiongezeki.

Ufuatao ni Mtiririko Wa Hatua Mbalimbali Zitakazo Muwezesha Mtu Yeyote Kufanya Upimaji Wa Eneo lake na kupata Hati Milik...
08/01/2023

Ufuatao ni Mtiririko Wa Hatua Mbalimbali Zitakazo Muwezesha Mtu Yeyote Kufanya Upimaji Wa Eneo lake na kupata Hati Miliki Ya Ardhi,Kwa Maeneo Ya Upimaji Wa Kiwanja au shamba hapa Nchini Tanzania.

1.KUFANYA UKAGUZI WA ENEO HUSIKA.Hapa Ukaguzi unafanyika Ili kujua Eneo Hilo limepangwa Kwa Matumizi Gani kwenye Ramani ya Mipango Miji.Hapa Anatakiwa Kushirikishwa Surveyor kwa kuja site/Eneo ili kufanya utambuzi Kwa kuchukua Coordinate na kifaa cha kupimia (Handheld GPS) kwa Kuzunguka kwenye mipaka ya Eneo Husika.Baada Ya Hapo Surveyor Ataenda na Coordinate za Eneo husikq kwenye Halmashauri pamoja na wizarani ili kupata Majibu.

2.MATOKEO YA ZOEZI LA UKAGUZI-Eneo linaweza kukosa sifa au kuwa na sifa ya kupimika kulingana na Matokeo ya Ukaguzi uliofanywa,🔹Eneo linaweza kukosa sifa ya kupimika endapo Eneo Hilo litakua limeandaliwa Mchoro awali na kupangwa katika Matumizi ya kijamii Mfano Makaburi, Barabara,soko,,,nk🔹Eneo Husika kuwa na sifa ya kupimika K**a hakuna Mchoro au K**a Kuna Mchoro na Kuwa Katika Matumizi Ambayo Mtu Binafsi anaweza Kumiliki Mfano Makazi,hotel,biashara.

3.Uandaaji Wa Mchoro wa Viwanja ,Hapa Wataalam Wa Mipango Miji Wataandaa Mchoro wa Viwanja akionyesha mpangilio wa Viwanja vyenye ujazo wa Juu,kati na Chini (High,Medium and Low Density)Ikiwa ni Pamoja na Miundombinu Ya Usafirishaji Maeneo Ya wazi na soko au biashara.Baadae Utaandaliwa File kwa Ajili Ya kwenda Wizara likiambatanishwa na Ramani ya Mchoro wa Mipango Miji kwa Ajili ya kuidhinishwa rasmi kwa Upimaji wa Eneo Husika.

4.KIBALI CHA UPIMAJI-Hapa Mmiliki Halali Wa Eneo husika itabidi aandae Barua kwa Ajili ya kuomba kupimiwa eneo lake .Barua hiyo itapita serikali ya mtaa na Halmshauri husika.

5.UPIMAJI WA ENEO-Hapa Mtaalam wa Upimaji Ardhi (Surveyor) ataweka Mipaka Katika Eneo Husika kwa kutumia nondo(pin) au mawe (beacon) pia litaandaliwa file Kwa Ajili ya kwenda Wizarani likiambatanishwa na Ramani Ya Upimaji na Taarifa za muhusika/mmliki Wa Eneo.Na Mwishowe Ramani Hiyo hurudishwa Ikiwa imeidhinishwa na wizara ya Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi.

6.Mmiliki Atakabidhiwa Ramani ya Upimaji Ambayo atapaswa kuitumia kuandaa Hati Miliki.
Ijue Ardhi Na Surveyor Obare #
0719-327463

Ukubwa Wa Kiwanja au Shamba Haupimwi Kwa Miguu au Tape Measure.Bali Unapimwa Kwa Vipimo maalamu Vya Kitaalam.Njoo Tukusa...
05/01/2023

Ukubwa Wa Kiwanja au Shamba Haupimwi Kwa Miguu au Tape Measure.Bali Unapimwa Kwa Vipimo maalamu Vya Kitaalam.Njoo Tukusaidie kupima Kitaalam.
Surveyor Obare #
0719-327463

14/12/2022
K**a Una Eneo na Haufaham Ukubwa Wa Eneo Hilo Kwa Vipimo. Ya Kitaalam au Haufaham Matumizi ya Eneo Hilo Kulingana na Ram...
14/11/2022

K**a Una Eneo na Haufaham Ukubwa Wa Eneo Hilo Kwa Vipimo. Ya Kitaalam au Haufaham Matumizi ya Eneo Hilo Kulingana na Ramani Ya Mipango Miji Wasiliana Nasi Tukusaidie Kufaham Vyote

0719-327463

0742-070083

K**a Una Eneo Na Hufaham Ukubwa Kulingana na Vipimo Vya Kitaalam Au Haufaham Matumizi Ya Eneo Kulingana Na Ramani Ya Mip...
14/11/2022

K**a Una Eneo Na Hufaham Ukubwa Kulingana na Vipimo Vya Kitaalam Au Haufaham Matumizi Ya Eneo Kulingana Na Ramani Ya Mipango Miji ,Wasiliana Na Surveyor Obare # 0719-327463 Ili Tukusaidie Kufaham Yote Hayo!!

0719-327463/0742-070083

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

+255742060083

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Surveyor Obare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Surveyor Obare:

Share

Category