16/09/2026
Minja real estate & Car Broker inakuletea:-
Shamba linauzwa Fukayose.
Shamba Lina heka 3 k**a Sqm 1200.
MITA 500 tu kutoka barabara kubwa ya lami.
Shamba Lina chumba na choo Cha mlinzi.
Eneo zuri kwa kulima na ufugaji na Lina bwawa la msimu wa mvua.
Bei mil 15.
Tupigie au whatsApp muda wowote ukilihitaji na k**a una Shamba, nyumba, kiwanja unauzwa tucheki tukusaidie kupata wateja.
MAWASILIANO 0687575770.
MUNGU BARIKI KAZI ZA MIKONO YETU.