tiffanyfound

tiffanyfound Ni dalali wa viwanja katika kampuni ya found real estate wauzaji wa viwanja kwa bei nafuuu na vyenye Hati miliki,

Found real estate  imefika mpaka kiluvya Makurunge    ni Mradi mpya sas ilioko sokoni plot ni chache mno  tuwahi Sasa. V...
19/05/2022

Found real estate imefika mpaka kiluvya Makurunge ni Mradi mpya sas ilioko sokoni plot ni chache mno tuwahi Sasa. Viwanja vimekatwa kuanzia SQM 600 na kuendelea bei SQM I = 15,000 kwa cash

Mradi huu unasifa zifuatazo ;
✔️Huduma za kijamii zimezingatiwa yaan zinapatikana kwa urahisi k**a vile maji, umeme, hospital, shule pamoja na barabara zinazopitika

✔️Karibu kabisa na makazi ya watu inafaa kufanya shughuli za kilimo na makazi pia

Found real estate inakuoa wewe mteja wetu kwenda kuona Mradi kwanza kabla ya kuanza malipo siku za kuona mradi ni siku za jumamosi pamoja na jumapili

Karibuni sana found real estate kwa huduma bora ya viwanja vya makazi na biashara

Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho-Victoria hi

Hiv woote tungekuwa na elimu juu ya kumiliki ardhi migogoro ingetokea wap,  suluhisho pekee ni found real estate kwa hud...
19/05/2022

Hiv woote tungekuwa na elimu juu ya kumiliki ardhi migogoro ingetokea wap, suluhisho pekee ni found real estate kwa huduma bora ya viwanja vya makazi na biashara kwani tunatoa elimu kabla ya kununua na baada ya kununua kiwanja kutoka kwetu . Utoaji wa elimu juu ya viwanja hiki kitu ndo kinatofautisha found na makampuni mengine.
Karibuni sana found real estate muwekeze kwa bei nafuuu kabisa Vilivyopimwa kihalali bila migogoro ya Aina yeyote ile

Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho-Victoria

Je wajua ni wapi utajipatia Hati miliki baada ya kununua kiwanja kutoka Found real estate, usijali ntakusaidia ni rahisi...
18/05/2022

Je wajua ni wapi utajipatia Hati miliki baada ya kununua kiwanja kutoka Found real estate, usijali ntakusaidia ni rahisi mno, ukinunua kiwanja kutoka Found real estate suala LA Hati miliki kwa asilimia kubwa inashughulikiwa na kampuni
Sio Hati tu pia tunatoa elimu baada ya mteja kuchagua plot yake nini afanye ili anufaike na plot yake
Je ukinunua utajenga nyumba ya vyumba vingapi kwa kiwanja cha SQM ulizochagua vipi kuhusu kuanzixha shughuli za kilimo je ni kilimo gani uanzishe
Yotee hayo unayapata found real estate pekee karibu sana found real estate kwa huduma bora ya viwanja

Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho-Victoria

Umili wa viwanja Umekuwa rahisi sana, unajua faida ya kumiliki kiwanja na found real estate, usijali ntakusaidia kwanza ...
17/05/2022

Umili wa viwanja Umekuwa rahisi sana, unajua faida ya kumiliki kiwanja na found real estate, usijali ntakusaidia kwanza kabisa miradi yetu iposehem ambayo Kuna manufaa makubwa kwa binaadamu k**a vile Mradi wetu wa kiluvya uliopo sokoni Sasa Tumezingatia vitu vifuatavyo ;

✔️Kwanz kabisa Tumezingatia huduma za kijamii zinapatikana kwa urahisi k**a vile maji, umeme, hospital, shule pamoja na barabara zinazopitika

✔️Pia tunajali wateja wetu kwa kufanya kila Mtanzania aweze kujipatia kiwanja hadi kwa mkopo mpaka kwa Muda wa miezi 18

✔️Umuhimu mwingine ni ufatiliaji wa Hati ni rahisi kuliko akifatilia mteja

Ushawahi kujiuliza kwanini uwekeze na found real estate na sio kampuni nyingine jibu ni moja tu found real estate ni ukweli, uwazi na kumfanya mteja asiwe na wasiasi

Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho-Victoria

Karibuni sana found real estate kwa huduma bora ya viwanja vya makazi na biashara

Umiliki wa kiwanja umefanya kuwa rahisi sana. Ulishawahi kujiuliza kuwa ukinunua kiwanja unapata manufaa ya na na gn? Ma...
16/05/2022

Umiliki wa kiwanja umefanya kuwa rahisi sana. Ulishawahi kujiuliza kuwa ukinunua kiwanja unapata manufaa ya na na gn? Majibu ya maswali yako yote utayapata found real estate pekee, kwani miradi yetu Tumezingatia huduma zote za kijamii k**a vile maji, umeme, hospital, shule pamoja na barabara zinazopitika

Pia ukinunua kiwanja chako na found utanufaika mno kw sababu miradi yetu ipo sahem zenye fursa Kam Mradi wetu wa bagamoyo upo karibu kabisa na bandari bandari ambayo ni sehemu ya vijana wetu kupata ajira kirahisi,

Pia tunatoa fursa kwa wateja wetu kwa ajil I ya malipo kw sababu tuna ulipaji wa cash na kwa kidog kidogo.

Viwanja vyetu vimepimwa kuanzia SQM 400 na kuendelea yaani 20 kwa 20 urefu na upana

Kwamawasili zaidi tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho Victoria

Karibuni sana found real estate kwa huduma bora ya viwanja vya makazi na biashara

Haijawahi kushuka Thamani hata Mara moja zaidi ya kupanda Thamani kila sikuKwa nini Sas tusiwekeze na found real estate ...
07/05/2022

Haijawahi kushuka Thamani hata Mara moja zaidi ya kupanda Thamani kila siku
Kwa nini Sas tusiwekeze na found real estate kwa huduma bora ya viwanja vya makazi na biashara tena kwa mkopo mpaka kwa mda wa miezi20
Karibuni sana found real estate muwekeze nasi

Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho-Victoria

Fanya malipo ya viwanja vya makazi na biashara na found real estate kwa urahisi zaidi kwani tumeboresha huduma za malipo...
05/05/2022

Fanya malipo ya viwanja vya makazi na biashara na found real estate kwa urahisi zaidi kwani tumeboresha huduma za malipo ambazo unaweza ukafany a malipo hata ukiwa nyumbani kwako Au mahala popo pale
Karibu ujichagulie plot yako sasa kwani ukweli na uhalali ndo sifa ya found real estate
Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho-Victoria

Jua umuhim wa kumiliki kiwanja chako na found real estate kwani ni wajibu wa kila mtu kujua ni ananufaika vipi na kiwanj...
02/05/2022

Jua umuhim wa kumiliki kiwanja chako na found real estate kwani ni wajibu wa kila mtu kujua ni ananufaika vipi na kiwanja chake
Kwanza kabisa ukimiliki kiwanja found unanufaika na kiwanja hiko kwa sababu miradi yetu yote Tumezingatia huduma za kijamii zoote zinapatikana kwa urahisi k**a vile maji, umeme, hospital pamoja na shule
Pili mahari miradi yetu ilipo ni sehemu ambazo zinakuza kipato kwa haraka kwa mfano karibu na Mradi wetu wa bagamoyo Kuna kiwanda cha nguzo ni fursa kwa vijana pili tupo karibu na vivutio vya utalii piaa ni fursa sana kwa wajasiliamali
Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho-Victoria

Ofa Ofa ofaaa  Hiii ni bab kubwa Sasa Pata kiwanja mpaka shilling Milioni2 tu na found real estate mabingwa wa kuuza viw...
02/05/2022

Ofa Ofa ofaaa
Hiii ni bab kubwa Sasa Pata kiwanja mpaka shilling Milioni2 tu na found real estate mabingwa wa kuuza viwanja Tanzania
Je, bado unatapeliwa na kuteseka kuhusu viwanja jibu ni moja tu found real estate kwa huduma bora Wahi Sasa ni Mradi mpya tena kigamboni wenye sifa zifuatazo
✔️ Huduma za kijamii zimezingatiwa yaan zinapatikana kwa urahisi k**a vile maji, umeme, hospital, Barbara pamoja na shule
✔️ Upepo mwanana wa bahari yaani ni Km1 tu mpaka kufikia fukwe za bahari
✔️ Viwanja vyetu ni tambalale namaanisha mkeka
Pia ukimiliki kiwanja na found real estate utapata faida zifuatazo
✔️Hautasumbuka kabisa kuhusu Hati yako miliki kwa sababu ufatiliaji mkubwa utafanywa na sisi
✔️Bei zetu zinaweza kulipwa na kila mtanzania kwa sababu tuna ulipaji wa Aina mbili......... Kwanza kabisa tuna ulipaji wa cash, pili tuna ulipaji wa installment yaani malipo ya awamu mpak miezi 20
Wahi Sasa umiliki kiwanja chako na found real estate kwa bei nafuuuuu kabisa
Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho-Victoria Sheri ya oil com floor namba2

Mlinde mwanao pamoja na Familia yako Sasa kwa kuwawekezea  na found real estate kwa huduma bora ya viwanja vya makazi na...
02/05/2022

Mlinde mwanao pamoja na Familia yako Sasa kwa kuwawekezea na found real estate kwa huduma bora ya viwanja vya makazi na biashara kwani ardhi ni product ambayo haijawahi kushuka Thamani yenyewe ni inapanda tu kwa manufaa
Miradi yetu yotee Ina sifa zifuatazo
Kwanza kabisa ;

✔️Tumezingatia huduma za kijamii zoote zinapatikana kwa urahisi k**a vile maji, umeme, hospital, shule pamoja na barabara zinazopitika

✔️Tumezingatia umbali kutoka site mpaka main road

✔️Pia ukinunua kiwanja kutoka Found real estate upatikanaji wa Hati yako utafanywa na kampuni kwa asilimia kubwa

Kwa mawasiliano zaid tupigie simu namba 0759878229 Au tembelea ofisi zetu zilizopo Makumbusho - Victoria

Karibuni sana found real estate kwa huduma bora ya viwanja vya makazi na biashara

Address

Victoria
Dar Es Salaam

Telephone

+255759878229

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when tiffanyfound posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category