09/01/2023
NYUMBA INAUZWA
Mwenge - Mlalakuwa, Dar es Salaam
ZIPO MBILI NDANI YA ENEO MOJA
Bei Tsh 2.5 BL
Ukubwa wa Eneo 3000 sqm
1. Makazi (vyumba vya kulala 11)
2. - vyote ni self contained rooms
3. - na standby generator
4. - na nyumba za wasaidizi wa ndani mbili
5. - uwezo wa maegesho ya magari 20
6. - eneo la bustani ya kutosha
7. - milango mitatu ya kuingilia
2. Apartments
1 - Vyumba ni Full furnished
2. - Nne zina vyumba 2,sebule na jikoni
3. - Mbili ni chumba kimoja,sebule na jiko
Tupigie kupitia 0758 999 699
Kufanya appointment kabla/mapema