Viwanja CHEAP

Viwanja CHEAP VIWANJA CHEAP - ni wauzaji wa viwanja kwa muda mrefu katika maeneo tofautitofauti.

Bi zainabu, siku ya kwanza kufika eneo la mradi na kuchagua kiwanja chake.
03/02/2023

Bi zainabu, siku ya kwanza kufika eneo la mradi na kuchagua kiwanja chake.

karibu sana.VIWANJA CHEAP - ni chsguo sahihi kwa kujipatia viwanja visivyo na migogoro na changamoto.uwaminifu kwa mteja...
03/02/2023

karibu sana.

VIWANJA CHEAP - ni chsguo sahihi kwa kujipatia viwanja visivyo na migogoro na changamoto.
uwaminifu kwa mteja ndiyo msingi wa mafanikio ya VIWANJA CHEAP.

ndugu shabani tayari kawahi kiwanja kwa ajili ya makazi, wewe unasubiri nini???

sahihi sasa hujachelewa viwanja ni vichache kwa bei ya Tsh. 1,200,000/= tu na ofa ya siment mifuko 10 au tofari 150.
karibu VIWANJA CHEAP,

mradi kwa sasa upo vianzi, kitongoji cha nyamisiki umbali km8 toka vikindu stendi

karibu karibu.mteja bi zainabu akipokea kwa furaha ofa yake ya mifuko 10 ya siment.VIWANJA CHEAP - nisehemu salama kwako...
03/02/2023

karibu karibu.

mteja bi zainabu akipokea kwa furaha ofa yake ya mifuko 10 ya siment.

VIWANJA CHEAP - nisehemu salama kwako kwa ajili ya kujipatia maeneo ya makazi, mashamba, magodauni n.k.

kwa sasa VIWANJA CHEAP - tuna mradi wa viwanja vya kupima vilivyo na sifa zifuatazo.

1. ukubwa ni ft 50*40
2.huduma muhimu zipo karibu na mradi.
3.umbali kutoka vikindu stendi ni km 8.
4. bei ni rahisi sana ya Tsh. 1,200,000/= tu
5. malipo ni kwa awamu
6.ofa ya siment au tofari ndani ya bei y amanunuzi.
7. kuna mkataba wa kukulinda zaidi na kuweka usalama wa mteja.

kwa maelezo zaidi piga simu 0682 - 554587 au 0714 - 792026

tupo mbagala charambe, nzasa dar es salaam.

miliki kiwanja kwa bei rahisi, pamoja na ofa ya siment au tofari ya kuanza ujenzi sasa.karibu sana
13/12/2022

miliki kiwanja kwa bei rahisi, pamoja na ofa ya siment au tofari ya kuanza ujenzi sasa.

karibu sana

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwanja CHEAP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Viwanja CHEAP:

Share

Category