JARIQ_investiment plots

JARIQ_investiment plots UUZAJI WA VIWANJA NA MASHAMBA KWA BEI NAFUU SANA. MAENEO YA BAGAMOYO, MLANDIZI, CHALINZE, NA KIBAHA.

KARIBU JARIQ INVESTMENT UMILIKI KIWANJA KWA BEI NAFUU SANAENEO LA MRADI NI BAGAMOYO, FUKAYOSI➡️UKUBWA ENEO NI *SQM 600* ...
17/01/2023

KARIBU JARIQ INVESTMENT UMILIKI KIWANJA KWA BEI NAFUU SANA
ENEO LA MRADI NI BAGAMOYO, FUKAYOSI
➡️UKUBWA ENEO NI *SQM 600* KWA PLOT MOJA YAAN *20Sqm×30Sqm*
➡️BEI NI TSH.350,000 (CASH)
SIFA ZA MRADI
Mradi upo 7 KM kutoka barabara kuu (BAGAMOYO_MSATA)
1.Plots zote ni SAFI na zimeshapimwa na kuwekewa alama k**a inavyoonekana kwenye ramani. Ukinunua PLOT 3 unapatiwa bonus ya tofali 100 buree.
2.Pindi unapofanya malipo utapatiwa Hati ya Mauziano pamoja na mkataba wa mauziano ikiambatana na risiti ya EFD hapo hapo.
JINSI YA KUFIKA SITE
Siku ya kwenda Site ni Jumamosi Saa 1:30 asubuhi, ambapo makutano ni MAKUMBUSHO BUS STAND.Gharama ya Usafiri ni Tsh. 10,000 Tu hii inajumuisha safari ya kwenda na kurudi SITE.
K**a upo Kuanzia Mwenge na kundelea Barabara ya Bagamoyo tafadhali toa taarifa mapema ili kuweza kutambua tutakutana Kituo gani.
Pia unahitajika kuja na passport size 2 kwa ajili ya Mkataba wa mauziano pamoja na hati yamauziano.
NB; Kwa mawasiliano zaidi 0785197791 (whatsapp, SMS and calls)

10/01/2023
JARIQ INVESTMENT INAKULETEA OFFER YA KUMILIKI KIWANJA KILICHOPIMWA KWA BEI NAFUU SANA➡️ENEO NI MASUGULU MSATA BAGAMOYO➡️...
07/01/2023

JARIQ INVESTMENT INAKULETEA OFFER YA KUMILIKI KIWANJA KILICHOPIMWA KWA BEI NAFUU SANA

➡️ENEO NI MASUGULU MSATA BAGAMOYO
➡️MRADI UPO KM 5 KUTOKA BARABARA KUU
➡️ENEO LIMESAFISHWA NA TAYARI KWA MATUMIZI
➡️ HUDUMA ZA KIJAMII ZINAPATIKANA ENEO LA MRADI
➡️ TUNATOA HATI MILIKI PAPO HAPO

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA

📞0785197751

AU FIKA OFISINI KWETU TEGETA NYUKI JENGO LA NYUKI HOUSE GOROFA YA TATU

KARIBUNI SANA🙏🙏

Address

Tegeta NYUKI
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JARIQ_investiment plots posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JARIQ_investiment plots:

Share

Category