04/04/2025
Jinsi ya Kujenga Nyumba ya Kisasa Kwa Budget Ndogo 📞 0689 650003
WhtsApp Group : https://chat.whatsapp.com/G6V7sIUnOVJIaSjNNg1arS
Ili uweze Kujenga na Kumiliki Nyumba Nzuri ya Kisasa Kwa Gharama nafuu ni Lazima Ushiriki vyema Katika kila eneo kwa Usahihi na Umakini ili kupata chaguzi Bora
1. Kiwanja
2. Ramani
3. Materials ( vifaa vya ujenzi )
4. Miundombinu ya maji
5. Ufundi
6. Fundi
Kwa kufanya chaguzi sahihi kwa kila hatua hapo juu, ninakuhakikishia unaweza kupunguza zaidi ya asilimia 40% za gharama za ujenzi wako....
□ K**a unahitaji Mwongozo wa Kufahamu Kipi ni Bora na Sahihi kwako katika Kupunguza gharama hizo za Ujenzi Wasiliana nasi
Location : Manzese Dar es Salaam
Call 📞 : 0689 650003