Cholemu Real Estate Agent

Cholemu Real Estate Agent Tunakopesha na Kuuza Viwanja Na Mashamba Kwa Cash na Mkopo bila Riba Wala Dhamana Yoyote Kwa Maana M

  qareem       ya ardhiMawasiliano:0783-602045
13/10/2023

qareem


ya ardhi

Mawasiliano:0783-602045

Eka 1 kwa laki 1 ☑️Bagamoyo talawanda,maji,umeme hospital ☑️Site tunaenda jumamosi 🙏Mawasiliano:0783-602045
10/10/2023

Eka 1 kwa laki 1 ☑️
Bagamoyo talawanda,maji,umeme hospital ☑️

Site tunaenda jumamosi 🙏

Mawasiliano:0783-602045

Mkuranga viwanja elfu 85Safari ya site jumapili hiiMakutano ni mbagala rangi3Thibitisha uwepo wako mapemaCall/sms 0783-6...
10/10/2023

Mkuranga viwanja elfu 85

Safari ya site jumapili hii

Makutano ni mbagala rangi3

Thibitisha uwepo wako mapema

Call/sms 0783-602045

Viwanja vya laki 5 mkuranga mbezi veisha kwa Sasa ni 850,000/=Utalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 10Kila mwezi 85000...
06/10/2023

Viwanja vya laki 5 mkuranga mbezi veisha kwa Sasa ni 850,000/=

Utalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 10

Kila mwezi 85000/=

Site tunaenda jumapili wiki hii

Mawasiliano 0783-602045

Endelea kufurahia huduma zetu kupitia cholemu investment ltdKwa mahitaji ya viwanja na mashamba maeneo yote Tanzania tuw...
06/10/2023

Endelea kufurahia huduma zetu kupitia cholemu investment ltd

Kwa mahitaji ya viwanja na mashamba maeneo yote Tanzania tuwasiliane mapema

Viwanja vyetu vimepimwa na ukimaliza malipo unapewa hati ya wizara

Siku za kutembelea miradi yetu ni kila jumamosi na jumapili

Mawasiliano:0783-602045

Imekuwa ni bandika bandua ya uuzaji wa viwanja pamoja na mashamba Kwa takribani Miaka minne (4).Ni mafanikio ya aina yak...
05/06/2023

Imekuwa ni bandika bandua ya uuzaji wa viwanja pamoja na mashamba Kwa takribani Miaka minne (4).

Ni mafanikio ya aina yake kwangu binafsi na kampuni Kwa ujumla Kwa muda ambao nimetumikia kampuni ya cholemu investment ltd

Nitakuwa mchoyo wa fadhila k**a sitatoa shukrani zangu za dhati Kwa mkurugenzi wangu Kwa kunipa nafasi ambayo vijana wengi mitaani waliitamani

Namshukuru Kwa kunipa nafasi,kuniamini na kunivumilia mpaka na Mimi nakuwa miongoni mwa watu tegemezi ofisini

Hakika Kuna sehemu nimesogea kupitia cholemu,nimeongeza watu,nimeongeza uelewa,lakini hata kipato changu Cha Leo sio Cha jana

Mr mayunga kwangu Mimi ni k**a boss,ni k**a brother lakini ni k**a mtu wangu wa mfano (role model)

Nimejifunza mengi kutoka kwake,na pia namuombea Kwa mungu aendelee kumpa uhai mrefu ili sisi vijana tunaotamani kuwa wakubwa tuendelee kujifunza kupitia yeye🤲

Lakini pia sitakuwa mwema k**a sitamshukuru ndugu yangu Bruno victor (ujanjaardhi) Kwa kunishika mkono kutoka mtaani mpaka ofisini cholemu investment ltd,mungu akulipe brother 🤲unaishi katika moyo wangu.

Nawashukuru sana staff wenzangu Kwa ushirikiano mkubwa sana tangu naanza kazi🙏

Kwa muda wote huo yamekuja makampuni mengi sana ,wamekuja wafanyakazi wengi mnoo wenye uwezo mkubwa pengine kunizidi Mimi

Swali la kujiuliza;je Kila siku nitauza viwanja?,jamii itanifahamu Kwa kuwa muuza viwanja tu?jibu ni hapana.

Je Kila siku nitaendelea kuwa muajiriwa, jibu ni hapana,Taasi zinakuwa, zinahitaji watu wapya,zinahitaji ubunifu mpya zinahitaji radha mpya

Ipo siku nitaondoka cholemu 😭 aidha Kwa kutaka au kutokutaka ndio mfumo ulivyo,lakini natamani hiyo siku niondoke huku wote tukiwa na furaha

Waswahili wanasema ukitaka kutoka sehemu usitokee dilishani,fata utaratibu kumbuka kutokea ulipoingilia k**a ufanyavyo mwiba kwenye ngozi ya binadamu.

Sisi vijana maskini lazima Kwanza tutumwe,alafu tujitume, ndio na sisi tuwatume wengine ndio mfumo wetu.

Naombeni sapoti yenu k**a mlivyonisapoti kwenye viwanja

Twende tukasapoti Kwani Kuna vijana wenzetu wanapata rizki huku🙏🙏🙏

Ahsanteni🙏





SITE KIBAHA TUMBI……Lipa 240,000 kila mwezi kwa miezi 15Sqm 1 ni tsh.9000Sqm 400 ni tsh.3600,000Lipa kwa miezi 15Kila mwe...
12/04/2022

SITE KIBAHA TUMBI……

Lipa 240,000 kila mwezi kwa miezi 15

Sqm 1 ni tsh.9000
Sqm 400 ni tsh.3600,000
Lipa kwa miezi 15
Kila mwezi 240,000

Kuona nj bureeeeee kununua mpaka urizike
Tupogie 0783 602045

Follow@anzaujenzi

KIBAHA TUMBI ( BOKO TIMIZA)Site visit ni kila jumamosiMiliki kiwanja kibaha tumbi kwa 240’000 tuLipa kwa miezi 15Call/sm...
12/04/2022

KIBAHA TUMBI ( BOKO TIMIZA)

Site visit ni kila jumamosi
Miliki kiwanja kibaha tumbi kwa 240’000 tu
Lipa kwa miezi 15

Call/sms 0783 602045

Yes site kibaha tumbi ni keshoMakutani ni mbezi mwishoMuda ni sa 2:30 asubuhiThibutisha uwepo wakoCall/sms 0783 602045
08/04/2022

Yes site kibaha tumbi ni kesho

Makutani ni mbezi mwisho

Muda ni sa 2:30 asubuhi

Thibutisha uwepo wako

Call/sms 0783 602045

HABARI NJEMA KWA WAWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA KILIMO 💥💥💥IVI UNA FAHAMU KUA KWA KULIPIA KIDOGO KIDOGO UNAWEZA KUMILIKI SHAM...
19/10/2021

HABARI NJEMA KWA WAWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA KILIMO 💥💥💥

IVI UNA FAHAMU KUA KWA KULIPIA KIDOGO KIDOGO UNAWEZA KUMILIKI SHAMBA KIWANGWA BAGAMOYO 👍

NDIOO NJOO OFISINI KWETU TU KUKOPESHA SHAMBA KWA KULIPIA LAKI MOJA TUU KILA MWEZI KWA MUDA MIEZI KUMI 12 (MWAKA MZIMA)👏👏👏

MASHAMBA YAPO KM 14 KUTOKA BARABARA KUU YA MSATA, MAJI (BWAWA LA ASILI) YAPO KARIBU NA MRADI WETU, NA ARDHI YAKE INA STAWISHA MAZAO MENGI K**A VILE MIGOMBA, MANANASI, MIEMBE, MIHOGO, ALIZETI, VIAZI VITAMU, MIKOROSHI, MIFENESI, MAHINDI, MBOGA MBOGA, MINAZI, KARANGA, N. K😋😋😋😋

OFISI ZETU ZIPO MWANANYAMALA AU TUWASILIANE. 0783602 045 /0767 569 701

KWA MALIPO YA LAKI MOJA NA ELFU 95 TUU (TSH. 195,000) Wahi Viwanja vizuri sana KIGAMBONI MWASONGA. Viwanja vipo karibu N...
07/10/2021

KWA MALIPO YA LAKI MOJA NA ELFU 95 TUU (TSH. 195,000) Wahi Viwanja vizuri sana KIGAMBONI MWASONGA. Viwanja vipo karibu Na Uwanja Wa Yanga Sc, na chuo cha kilimo Mwasonga. Unapitia Dar es Salaam ZOO, NA Kiwanda cha Maji ya Afya. na huduma zote k**a Umeme, Maji, Shule, Zahanati, Viwanja vya michezo na huduma nyinginezo zipo.
|| 0783 602 045 ||
Bei zetu ni nafuu sana, Tunaanzia Milion Tatu na laki Tisa tuu kwa Ukubwa wa Kiwanja cha (Sqm 600 ) Unaweza kuunganisha zaidi ya viwanja viwili, na kila kiwanja kina barabara, na tayari zimechongwa zote.

Umbali kutoka Kibada Center ni Km 10 tu. Kutoka fery ni km 25 Sio mbali kabisa na barabara kuu, Usafiri ni Uhakika 24hrs, kwa Wanaopitia Ferry Panda gari za kibada alafu chukua gari za mwasonga /Tundwi songani

MALIPO NI KWA AWAMU MPAKA MIEZI 20

Kutembelea mradi wetu Nauli ni Tsh 5000 na kununua mpaka uridhike mwenyewe. Kwa maelezo zaidi na namna ya kufika.
piga/whatsaap 0783 602 045 Karibuni sana.

KWA MALIPO YA LAKI MOJA NA ELFU 30 TUU (TSH. 130,000) Wahi Viwanja vizuri sana KIGAMBONI MWASONGA. Viwanja vipo karibu N...
14/09/2021

KWA MALIPO YA LAKI MOJA NA ELFU 30 TUU (TSH. 130,000) Wahi Viwanja vizuri sana KIGAMBONI MWASONGA. Viwanja vipo karibu Na Uwanja Wa Yanga Sc, na chuo cha kilimo Mwasonga. Unapitia Dar es Salaam ZOO, NA Kiwanda cha Maji ya Afya. na huduma zote k**a Umeme, Maji, Shule, Zahanati, Viwanja vya michezo na huduma nyinginezo zipo.
|| 0783 602 045 ||
Bei zetu ni nafuu sana, Tunaanzia Milion mbili na laki sita tuu kwa Ukubwa wa Kiwanja cha (Sqm 400 ) Unaweza kuunganisha zaidi ya viwanja viwili, na kila kiwanja kina barabara, na tayari zimechongwa zote.

Umbali kutoka Kibada Center ni Km 10 tu. Kutoka fery ni km 25 Sio mbali kabisa na barabara kuu, Usafiri ni Uhakika 24hrs, kwa Wanaopitia Ferry Panda gari za kibada alafu chukua gari za mwasonga /Tundwi songani

MALIPO NI KWA AWAMU MPAKA MIEZI 20

Kutembelea mradi wetu Nauli ni Tsh 5000 na kununua mpaka uridhike mwenyewe. Kwa maelezo zaidi na namna ya kufika.
piga/whatsaap 0783 602 045 Karibuni sana.

Address

Mwananyamala
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cholemu Real Estate Agent posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Cholemu Real Estate Agent:

Share