Viwanja Na Mashamba Projects

Viwanja Na Mashamba Projects � Wauzaji Wa Mashamba Na Viwanja Vilivyopimwa Kwa Kuzingatia Sheria Za Mipango Miji.
� Malipo Ni Cash AU Kidogo Kidogo.
� Piga/WhatsApp - 0746 079370

MILIKI KIWANJA CHAKO SASA KIGAMBONI MWASONGA - DAR ES SALAAM. KWENYE MJI UNAOKUA KWA KASI, WAKATI MZURI WA KUNUNUA NI SA...
01/12/2021

MILIKI KIWANJA CHAKO SASA KIGAMBONI MWASONGA - DAR ES SALAAM. KWENYE MJI UNAOKUA KWA KASI, WAKATI MZURI WA KUNUNUA NI SASA HIVI KWA BEI RAHISI.

Jenga na Ishi Kwenye Mtaa Uliopangiliwa Vizuri. Viwanja Vimepimwa Kwa Kuzingatia Sheria za Mipango Miji.

Sqm 1 ni Sh. 3800.

Bei Ya Kiwanja Ni Kuanzia Sh. 1,520,000 . Kwa Ukubwa Wa Sqm 400 ( mita 20 kwa 20)

Unaweza Pia Kulipa Kidogo Kidogo Kwa Muda wa Miezi 10 . Kila mwezi unalipa 152,000 .

Viwanja Vinapatikana Kuanzia Ukubwa Wa Sqm 400 (mita 20 kwa 20) Nakuendelea.

Viwanja Vipo Km 25 Kutoka Ferry .

Viwanja Vipo Km 2.5 Kutoka barabara Kuu ya Mwasonga.

Huduma za Kijamii K**a Umeme na Barabara zinapatikana.

Utapatiwa Mkataba wa Kisheria wa mauziano (Sales Agreement).

Maandalizi ya Hati ni baada tu ya kumaliza malipo.

Kutembelea Site Ni Jumamosi.

Nitumie Message WhatsApp Nikutumie Ramani. wa.me/255746079370

Ofisi zetu zipo Ubungo Shekilango Karibu na Rombo Green View Hotel.

Kwa Mawasiliano Zaidi Piga/WhatsApp
0746 079370

Group La WhatsApp https://chat.whatsapp.com/In930QtrJmrA7gmpGuYqx9

Miliki Sasa Shamba & Kiwanja Chako Kwa Kulipia Kwa Awamu Yaani Kidogo Kidogo.Miradi Iliyopo Mezani ni VIWANJA  KIGAMBONI...
30/11/2021

Miliki Sasa Shamba & Kiwanja Chako Kwa Kulipia Kwa Awamu Yaani Kidogo Kidogo.

Miradi Iliyopo Mezani ni VIWANJA KIGAMBONI MWASONGA & MVUTI DAR ES SALAAM & MASHAMBA CHALINZE MBOGA.

Piga/WhatsApp : 0746 079370

Karibu Sana

MILIKI KIWANJA CHAKO SASA KIGAMMBONI MWASONGA - DAR ES SALAAM. MJI UNAOKUA KWA KASI, WAKATI NDIO SASA KWA BEI RAHISI.Jen...
28/11/2021

MILIKI KIWANJA CHAKO SASA KIGAMMBONI MWASONGA - DAR ES SALAAM. MJI UNAOKUA KWA KASI, WAKATI NDIO SASA KWA BEI RAHISI.

Jenga na Ishi Kwenye Mtaa Uliopangiliwa. Viwanja Vimepimwa Kwa Kuzingatia Sheria za Mipango Miji.

Bei ya Kiwanja Ni sh. 3800 kwa Sqm 1.

Pata Kiwanja Kuanzia Sh. 1,520,000 Tu ( Milioni Moja Laki Tano na Ishirini ) Kwa Ukubwa Wa Sqm 400 ( mita 20 kwa 20)
Unaweza Kulipia Kidogo Kidogo Kwa Muda wa Miezi 10 . Kila mwezi unalipa 152,000 (Laki moja na Elfu hamsini na mbili).

Viwanja vimepimwa kuanzia sqm 400 (mita 20 kwa 20) nakuendelea.

Viwanja Vipo Km 25 Kutoka Ferry .

Viwanja Vipo Km 2.5 Kutoka barabara Kuu ya Mwasonga (mwasonga center).

Huduma za Kijamii ziko karibu na mradi.

Malipo ni Kwa Cash Au unaweza Kulipa Kwa Awamu Kwa Muda Wa Miezi 10.

Utapatiwa Mkataba wa Kisheria wa mauziano (Sales Agreement).

Maandalizi ya Hati ni baada tu ya kumaliza malipo.

Ofisi zetu zipo Ubungo Shekilango.

Ardhi ni Uwekezaji. Anza Kuwekeza Sasa.

Tafadhali unaweza Piga/WhatsApp Kwa Maulizo au Maelezo zaidi
0746 079370

Kutembelea Site Ni Jumamosi Hii .Tuwasiliane Kabla.

Karibu Sana.

📌📌📌NEW PROJECT📌📌📌MASHAMBA CHALINZE-MBOGA.Mashamba yapo CHALINZE-MBOGAYapo umbali wa 4 km kutokea Barabara kuu,Ekari moja...
28/11/2021

📌📌📌NEW PROJECT📌📌📌

MASHAMBA CHALINZE-MBOGA.

Mashamba yapo CHALINZE-MBOGA
Yapo umbali wa 4 km kutokea Barabara kuu,
Ekari moja ni 1,200,000/= ( Milioni Moja na Laki Mbili ) Tu
Anza kulipia 30% (360,000)
Malizia 840,000/= ndani ya miezi 8
Mashamba yanafaa kwa kilimo cha Mahindi, Mihogo, Mbaazi, Pamoja na miti ya matunda k**a Miembe n.k

Utapatiwa Mkataba wa Kisheria wa mauziano (Sales Agreement).

Maandalizi ya Hati ni baada tu ya kumaliza malipo.

Ofisi zetu zipo Ubungo Shekilango.

Ardhi ni Uwekezaji. Anza Kuwekeza Sasa.

Tafadhali unaweza Piga/WhatsApp Kwa Maulizo au Maelezo zaidi
0746 079370

Kutembelea Site Ni Jumamosi Hii . Tuwasiliane Kabla.

Karibu Sana.

🔥🔥🔥🔥 VIWANJA MVUTI-ILALAMiliki Kiwanja Kilichopimwa Dar es salaam - Mvuti Kwa Bei Nafuu .  Jenga na Ishi Kwenye Mtaa Uli...
28/11/2021

🔥🔥🔥🔥 VIWANJA MVUTI-ILALA

Miliki Kiwanja Kilichopimwa Dar es salaam - Mvuti Kwa Bei Nafuu . Jenga na Ishi Kwenye Mtaa Uliopangiliwa. Viwanja Vimepimwa Kwa Kuzingatia Sheria za Mipango Miji.

Viwanja Vipo MVUTI-ILALA

sqm 1 inauzwa Tsh 3,600/=

Pata Kiwanja Kuanzia Sh. 1,440,000 Tu ( Milioni Moja Laki Nne na Arobaini) Kwa Ukubwa Wa Sqm 400 ( Sawa na mita 20 kwa 20)
Unaweza Kulipia Kidogo Kidogo Kwa Muda wa Miezi 10 . Kila mwezi unalipa 144,000 (Laki moja na Elfu Arobaini na Nne).

Viwanja Vipo kuanzia Ukubwa wa 400 sqm , Sawa na mita ( 20 kwa 20) na kuendelea .

Viwanja Vipo umbali wa 4 km kutokea mvuti centre.

Huduma za Kijamii ziko Karibu na Mradi.

Malipo ni Kwa Cash Au unaweza Kulipa Kwa Awamu Kwa Muda Wa Miezi 10.

Utapatiwa Mkataba wa Kisheria wa mauziano (Sales Agreement).

Maandalizi ya Hati ni baada tu ya kumaliza malipo.

Ofisi zetu zipo Ubungo Shekilango.

Ardhi ni Uwekezaji. Anza Kuwekeza Sasa.

Tafadhali unaweza Piga/WhatsApp Kwa Maulizo au Maelezo zaidi
0746 079370

Kutembelea Site Ni Jumamosi Hii . Tuwasiliane Kabla.

Karibu sana.

28/11/2021

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255746079370

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwanja Na Mashamba Projects posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share