Makazi yako

Makazi yako CHOLEMU INVESTMENT LIMITED ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa viwanja na mashamba kwa mkopo usio

viwanja
mashamba
malipo ya awamu mpaka 20
ukimaliza malipo unapewa hati miliki

NEW PROJECTCHOLEMU INVESTMENT LIMITED inawaletea mradi mpya wa viwanja kibaha boko timiza.*Umbali km 1.8 kutoka barabara...
22/03/2022

NEW PROJECT
CHOLEMU INVESTMENT LIMITED inawaletea mradi mpya wa viwanja kibaha boko timiza.
*Umbali km 1.8 kutoka barabara ya ilemela
*Huduma za kijamii zipo
*Sqm moja tunauza sh 9000/=
*Malipo miez 15
*Safari za site ni kila jumamosi nauli sh 5000/=
Call/ 0788061282

Ofa ofa ofa Miliki shamba kiwangwa bagamoyo heka moja sh 1,200,000/= utalipa kdgkdg miezi 12 kila mwezi laki moja.Hii si...
05/03/2022

Ofa ofa ofa
Miliki shamba kiwangwa bagamoyo heka moja sh 1,200,000/= utalipa kdgkdg miezi 12 kila mwezi laki moja.
Hii si ya kukosa
Kwa mawasiliano tupigie 0788061282

Ofa! Ofa! Ofa!Cholemu investment limited wauzaji wa viwanja na mashamba wanakuletea ofa ya viwanja chalinze mboga.** sqm...
17/02/2022

Ofa! Ofa! Ofa!
Cholemu investment limited wauzaji wa viwanja na mashamba wanakuletea ofa ya viwanja chalinze mboga.
** sqm moja sh 2000
**Viwanja vinaanzia sqm 800
**Malipo ni miezi 10
** Tupigie 0788061282

Siku ya jumamosi tukiwa site kiwangwa na wateja wetu , heka bado zipo kwa 1,200,000 unamiliki shamba kwa kulipa laki moj...
14/02/2022

Siku ya jumamosi tukiwa site kiwangwa na wateja wetu , heka bado zipo kwa 1,200,000 unamiliki shamba kwa kulipa laki moja kila mwezi.
Waone Cholemu investment limited tupo mwananyamala A Genesis tower ghorofa ya tatu.
Tupigie 0788061282

Wale wauzaji wa viwanja na mashamba CHOLEMU INVESTMENT LIMITED wanakuletea mradi wa viwanja mahungu dodoma lipa kidogo k...
07/02/2022

Wale wauzaji wa viwanja na mashamba CHOLEMU INVESTMENT LIMITED wanakuletea mradi wa viwanja mahungu dodoma lipa kidogo kidogo
*Mradi upo km chache tu kutoka barabara kuu.
*Huduma za kijamii zinaptikana
*Ofisi zipo mwananyamala A jengo la vijana house ghorofa ya tatu
*Kila jumamosi tunaenda site
*Mawasiliano piga 0788061282

Je una ndoto ya kumiliki kiwanja ? Waone cholemu investment limited wanakupa fursa ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu. Ke...
01/02/2022

Je una ndoto ya kumiliki kiwanja ? Waone cholemu investment limited wanakupa fursa ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu. Kerege beach plots
= Mradi upo kerege njia ya bagamoyo
=Mradi upo km 3 kutoka barabara kuu
=Mradi upo km 1 kufika baharini
= Huduma za kijamii zinapatikana k**a vile maji na umeme
=Viwanja vimepimwa na vinaanzia ukubwa wa sqm 500
=Bei ya sqm 1 ni sh 13,000/=
= Malipo ni miezi 18 anza na 20%
= Kila jumamosi tunaenda site
= Ofisi zipo mwananyamala A jengo la genesis tower ghorofa ya tatu
= Mawasiliano piga 0788061282

Je unahitaji kumiliki kiwanja ? Waone CHOLEMU INVESTMENT LIMITED ujipatie kiwanja kerege bagamoyo  # mradi upo km 2 kuto...
31/01/2022

Je unahitaji kumiliki kiwanja ? Waone CHOLEMU INVESTMENT LIMITED ujipatie kiwanja kerege bagamoyo
# mradi upo km 2 kutoka barabara kuu
# viwanja vimepimwa na vinaanzia sqm 500 na zaidi
# sqm 1 ni sh 1300,00/=
# malipo ni miezi 18 unaanza na asilimia 20
# kila jumamosi tunaenda site
# huduma za kijamii zinapatikana
# mawasiliano zaidi 0788061282

Wale wakopeshaji wa viwanja na mashamba yaani CHOLEMU INVESTMENT LIMITED wanakupa ofa ya kumili kiwanja lugoba chalinze ...
31/01/2022

Wale wakopeshaji wa viwanja na mashamba yaani CHOLEMU INVESTMENT LIMITED wanakupa ofa ya kumili kiwanja lugoba chalinze kwa laki nne tu na unalipa miezi kumi yaani 400,00/= kila mwezi kwa miezi kumi.
Karibuni sana mawasiliano piga 0788061282 au 0745861430

Cholemu investment limited wauzaji wa viwanja na mashamba kwa mkopo usio na riba wala dhamana wanakuletea fursa ya masha...
31/01/2022

Cholemu investment limited wauzaji wa viwanja na mashamba kwa mkopo usio na riba wala dhamana wanakuletea fursa ya mashamba.
*Mashamba yapo kiwangwa bagamoyo
* Heka moja ni 1,200,000/=
* Malipo miezi 12 kila mwezi 100,000/=
* Mashamba ni mazuri kwa kilimo cha mananasi,mihogo na migomba pamoja na ufugaji
* Maji yanapatikana hapo mashambani
*Ofisi zipo mwananyamala A jengo la vijana house ghorofa ya tatu
*Kwa mawasiliao piga 0788061282 au 0745861530 karibuni sana

15/10/2021

Je unahitaji kumiliki kiwanja au shamba? Waone Cholemu investment limited wauzaji wa viwanja na mashamba kwa mkopo usio na riba wala dhamana.
♦viwanja vinapatikana makurunge bagmoyo
♦Mradi upo karibu na kiwanda cha sukari cha bakhresa
♦Mradi upo km chache kutoka barabara kuu
♦Huduma za kijamii zote zinapatikana k**a vile maji na umeme.
♦Viwanja vimepimwa kwa sqm na vinaanzia sqm 400 na kuendelea
♦Bei ya sqm 1 ni sh 3500 kwa sqm 400 ni sh 1,400,000/=
♦Muda wa malipo ni miezi 18 kila mwezi 78000/=
♦Ofisi zipo mwananyamala A, jengo la genesis tower floor ya tatu
♦Mawasiliano piga 0788061282



15/10/2021

Je unahitaji kuwa mmiliki wa kiwanja ? Cholemu investment limited wanakuletea ofa ya viwanja vilivyopimwa makurunge bagamoyo.
♦Viwanja vipo km chache kutoka barabara kuu
♦Viwanja vipo katika njia panda ya mbuga ya saadani
♦Vinapakana na kiwanda cha sukari cha bakhresa
♦huduma za kijamii zinapatikana k**a vile maji na umeme
♦Viwanja vimepimwa kwanzia sqm 400 na sqm 1 ni sh 3500
♦Muda wa malipo ni miezi 18
♦unalipa kdg kdg mfano kiwanja cha sqm 400 ni sh 1,400,000/= kwa miezi 18 kila mwezi 78000/=
♦Mawasiliano 0788061282
♦🔥🔥


Makurunge bagamoyo
14/10/2021

Makurunge bagamoyo

Address

Mwananyamala A, 25455 Dareslsm
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makazi yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Makazi yako:

Share

Category