Fursa Surveyed Viwanja

Fursa Surveyed Viwanja Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fursa Surveyed Viwanja, Estate agent, Dar es Salaam.

28/10/2025
Je? Unahabari ya Punguzo kubwa la Bei Kwa Msimu Huu wa Sikukuu za Eid Na Pasaka?🏑  Je unajua Hii ni fursa ya Kujenga Nyu...
31/03/2025

Je? Unahabari ya Punguzo kubwa la Bei Kwa Msimu Huu wa Sikukuu za Eid Na Pasaka?

🏑 Je unajua Hii ni fursa ya Kujenga Nyumba Yako? 🏑

NDIYO:

Viwanja vya makazi vipo kwa bei nzuri na mpango wa malipo rafiki kabisa! Katika Mradi wetu wa CHEKA Kingfisher.

Mradi wetu upo Cheka, umbali wa km 23 toka Ferry, na mita 500 kutoka barabara kuu Lami (Cheka-Buyuni).

Mradi unapakana na Chuo cha Nursing cha Western College, na ni mahali pazuri kwa ujenzi wa nyumba za kuishi, Airbnb, au Hostel kwa wanafunzi!

Viwanja vipo vichache na vinaanzia sqm 400 kuendelea, bei kuanzia milioni 20 na kuendelea. 🌱

✨ Kwa nini uchague mradi huu?
βœ”οΈ Eneo linalokua.
βœ”οΈ Miundombinu ya kutosha.
βœ”οΈ Nafasi nzuri kwa uwekezaji wa nyumba na biashara.
βœ”οΈ Mipango ya malipo rahisi.
βœ”οΈ Hati Miliki ni Bure.

πŸ‘‰ Tembelea ofisi yetu:
Kinondoni Biafra, Delta House, Ghorofa ya Sita
πŸ“ž Au tupigie simu 0788039769 kwa maelezo zaidi!

⏳ Viwanja vipo vichache!

Chukua hatua Leo Kutimiza Ndoto yako!

🏑 Pata Kiwanja Chako Leo! 🏑Unatafuta Viwanja vizuri kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi au Airbnb? Ndio,Tunavyo viwa...
31/03/2025

🏑 Pata Kiwanja Chako Leo! 🏑

Unatafuta Viwanja vizuri kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi au Airbnb?

Ndio,

Tunavyo viwanja bora kabisa vilivyopo sehemu nzuri na tambarare Katika Miradi yetu ya Buyuni Zebra Sungura, Farasi, Tiger na Swala Miradi hii ipo umbali tofauti tofauti toka Buyuni Center, na kutoka Barabara Kuu ya Feri-Buyuni! πŸš—

βœ… Makazi ya watu yapo.
βœ… Huduma za kijamii k**a umeme nk vipo.
βœ… Vinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi, Airbnb, na zaidi!
βœ… Ukubwa upo wa Size tofauti tofauti
βœ… Hati Ni bure

πŸ’° Bei na Mpango wa Malipo :

πŸ‘‰ Fedha taslimu
πŸ‘‰ Kwa kianzio cha asilimia 20
πŸ‘‰ Kwa malipo ya awamu sawa kwa miezi 18.

Uchaguzi ni wako Kulingana na Bajeti yako.

Tunakupa Fursa ya Kumiliki kiwanja, na sii kiwanja tu, Bali Kiwanja na Hati Miliki kutoka Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.

Viwanja vipo vichache, wawahi sasa!

Wasiliana nasi Leo πŸ“žπŸ“² 0788039769


Address

Dar Es Salaam
14110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa Surveyed Viwanja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category